Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

Hizo ni nchi zenye utawala bora, kwetu mambo yanaenda yaendavyo. Serikali imetumia fedha kubwa kwenye nida, lakini leo ukienda polisi kitambulisho cha nida hakikidhi kumdhamini mtu mpaka barua ya Mwenyekiti wa Mtaa. Una receipt ya kitanda umenunua, njiani unaulizwa kibali cha maliasili, kana kwamba una mbao au gogo!
 
Duu !! Shida kubwa mkuu hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakope tu.

Ila tusisahau kwenye msafara wa Mamba na Kenge wanajichomekamo....basi la, mali za FINCA and Co ziwe na utambulisho wake na za Wananchi pia ziwe na utambulisho wake.
dhamana za FINCA and Co ni vyombo vya ndani. Watu wakiacha kukopa huko hatutaona vinauzwa
 
Ni kweli kabisa, unaweza jikuta kwenye kesi ya wizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…