Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa?
Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za tigopesa, mpesa, Airtel money n.k either zote zitasoma jina lake au la mke au meme wake.
Mtumishi tapeli atahakikisha mfumo wa pesa ndani ya kanisa unakuwa mikononi mwake. Kwa kufanya hivyo anakuwa ameliweka kanisa lote mifukoni mwake. Huwezi kumtimua au kumtenga hata akiwapa mimba wanakwaya 5 kwa mpigo.
Kila atakalolifanya litahesabika ni jema tu mbele ya viongozi walio chini yake kwasababu ili ule lazima umsujudie.
Kanuni iko hivi; anayetawala pesa lazima awe na power kutawala wengine.
Nitakuja kutoa codes zingine.
Hawa matapeli wanaharibu akili na nguvu kazi ya jamii.