Serikali isikubali kutangaza “total lockdown” au Karantini. Wanaoishawishi ama hawajui wanachokishauri au ni wabinafsi

Sio mistake,hela za kupelekwa mashuleni hakuna huo ndio ukweli big brother kapiga pin tena msaada wa elimu hakuna tena.
Niliishasema sehemu fulani kwenye ukumbi huu kwamba akili za kuambiwa changanya na za kwako. Mimi na familia yangu tuko kwenye lockdown wiki ya 2 sasa. Siwezi kuendelea na maisha kama kawaida kana kwamba mambo ni kawaida.
 

hahahaahahah..moja, kama unajua ni vigumu kupata data kwa nini unang'ang'ania wengine wakuletee data???. au kusema tu hii ndio hali yetu Tanzania na lockdown haifai bila ku cite kwengine...kuna validate sensensi zako??? unataka wakujibu kisayansi mbona wewe hufanyi hivyo...…..???

Second,naona unajitoa ufahamu niiposema 'what if' umenielewa sana ila kwa kurudia nilimaanisha topic yako haina evidence tusipo lockdown hali ya maambukizi itakuwaje….zote ulizoainisha ni speculations tu...you are entitled to your own opinion ila usitulazimishe tukuamini maneno yako bila evidence.

Tanzania lockdown inafanywaje,nadhani nimejibu msimamo wangu mwanzo wa huu mjadala...kwa kuanzia tufunge miji yote yenye watu na msongamano mkubwa kama Dar, miji mikubwa kama London, New York..naona infection imewaathiri vibaya...tusisubiri hali iwe mbaya...

Nitaendelea kukupinga, sababu nawapenda watanzania wenzangu,na wala sitochoka...lol
 

Wameaminishwa kuwa ni kaupepo.

Wajinga ndiyo waliwao. Wataliwa sana.
 

Mkuu JF in wide spectrum ya understanding.

Sasa hapo unaweza kuta marumbano ni baina ya ufahamu tofauti sana.

Sasa hapo ni kufahamu si kila mtu lazima aelewe.
 

Mkuu JF in wide spectrum ya understanding.

Unaweza kuta marumbano ni baina ya ufahamu tofauti sana.

Sasa hapo ni kufahamu si kila mtu lazima aelewe.
 
Usijiamini Sana,nunua chakula weka ndani,mchele,maharage,sembe,mkaa gase,dagaa
Ndugu yangu, wengi wetu uwezo huo hatuna.

Hiyo ndio hali halisi ya sisi watu wa hali ya chini
 
Kufuata ushauri wa kitaalmu kuhusu tabia njema za kiafya, siyo kwa korona tu, utaokoa maisha ya watu wengi dunia ya tatu ambako mazingira ya kuishi si salama. Isitoshe kuna udhaifu wa miundo mbinu, na upungufu mkubwa wa madawa, vifaa tiba, na watumishi wa afya.

Mwenye kusikia na asikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…