moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Watu ujuaji mwingi na wala kichwani hamna kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ana haraka mno. Yeye anajua ujazo wa mafuta ya ndege? Hari ya hewa ikiwa mbaya ina determined akirudi kule atatumia masàa mangapi kuresque. Tushukru Mungu tu huyu rubani alijitahidi ndege sio mbovu. Kwa nini serikali isilaumiwe kwa kutokenga uwanja wa kajunguti kwenye usalama zaidi. Sisi hili ziwa tunalifahamu. Likichafuka haswaa unaweza ukadhani gharika sasa linakuja. Yaani panatisha vibaya tena basi kukiwa na radi.Assumption zimekuwa nyingi , labda tusubir black box... Kama aliwatangazia abiria kuwa wanachumpa Mwanza , ni kipi kilimfanya akatumbukiza ndege kwenye maji ?
Je aliignore uamzi wa kurud mwanza akaamua atest zari? Maofisa wa control tower walimuuza kumwambia atue ziwani? Mafuta yalikuwa low kurudi mwanza?
Hali ya hewa ilizingua ( poor visibility) akashindwa kuona anga ya kugeuza ndege kurudi mwanza? 😟
Wakati hatuna ndege mbona mlizisifu kwa mapambio. Leo hii zinabezwa kwa sababu ya uzembe wa serikali kushindwa kuokoa watu.Kuna uwezekano hizo ndege zake zinaruka tu Kila siku
Wakati zilipaswa kuwa grounded permanently due to safety reason.
Nikizionags naona kama mikangafu Fulani hivi
Bongo hakuna uchunguzi unaoaminika.Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
Hivi mleta mada, tatizo kwenye ile ajali hadi watu 19 wanakufa ni hali ya ndege au ukosefu wa huduma ya haraka ya uokoaji??Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Bongo hakuna uchunguzi unaoaminika.
Wote wanaujua kuhusika hadi sasa tayari watakuwa washaandaa mabahasha na kuyaweka sawa
Hivi mleta mada, tatizo kwenye ile ajali hadi watu 19 wanakufa ni hali ya ndege au ukosefu wa huduma ya haraka ya uokoaji??
Vipi wananchi wenye akili nao wakidai PM na RC wajiuzulu kwa kushindwa kuweka mazingira sahihi ya udhibiti wa majanga na uokoaji??
Hivi unajua kuwa majanga, ajali na dharura kama hizo ulizotaja zipogo tu?
Kama tunakubaliana zipo je, serikali ilifanya kila kitu sahihi ili sasa lawama zibaki kuwa za Precision Air?
NB: Nakushauri usome Sendai Framework for Disaster Risk Reductions ujue majukumu ya serikali na wadau wengine.
Japo umeandika mengi lakini wewe ni mweupe sana.
Na msifikiri kuwa ATCL itaperform vizuri kwenye local market endapo mtaondoa competitions kwa kuifungia Precision Air.
Hivi mleta mada, tatizo kwenye ile ajali hadi watu 19 wanakufa ni hali ya ndege au ukosefu wa huduma ya haraka ya uokoaji??
Vipi wananchi wenye akili nao wakidai PM na RC wajiuzulu kwa kushindwa kuweka mazingira sahihi ya udhibiti wa majanga na uokoaji??
Hivi unajua kuwa majanga, ajali na dharura kama hizo ulizotaja zipogo tu?
Kama tunakubaliana zipo je, serikali ilifanya kila kitu sahihi ili sasa lawama zibaki kuwa za Precision Air?
NB: Nakushauri usome Sendai Framework for Disaster Risk Reductions ujue majukumu ya serikali na wadau wengine.
Japo umeandika mengi lakini wewe ni mweupe sana.
Na msifikiri kuwa ATCL itaperform vizuri kwenye local market endapo mtaondoa competitions kwa kuifungia Precision Air.
Kila mtu ameshakuwa expert wa Aviation, hii nchi ngumu sana!Taili za ndege zikishindwa toka Zinatolewa manually,tatizo mifumo ya hydraulic ikishindwa kazi.Maana ndege inaweza tua hata ingini zikizima Kwa kutumia generator ya upepo kuiendesha mifumo ya hydraulic
Ramli hiziThank you mr Blackbox, ninakuamini kwa kutumia blackmajic kuyajua tusiyoyajua.
Kwani ndege ilisambaratika. Si ipo intact sasa unauliza kitu kilicho obvious...weee jamaa you are nothing but a clout chaser...a true fakerKama Watanzania mnasubiri Black Box ambayo ni Jambo la kwanza ilipaswa kutangazwa first thing kuwa Black Box imeonekana
Hilo halijasemwa Na kwa uzembe wa TZ hilo litapita Hivyo
Wivu tuu unakusumbuaNakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.
Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa lazima back and forth... kibaya zaidi Rubani hakutangaza chochote.
Ni siku ambayo nilisikia Yesu akitajwa zaidi kuliko siku yoyote. Wapo waliozimia kwa Hali ile.
Mimi na Mzungu tulikuwa tumechili.... ndani ya nafsi yangu nikajisemea. Kama leo ndio mwisho wangu .... let the shit happen .... I can’t deny death . Only to realize that I was born to die.
So nikawasha ipad yangu na kuanza kusikiliza the Beatles, waiting for my destiny.
I was eager to see my new beginnings.
Well , baadae ndege ikatua and from that moment nikasema hii ruti sipiti tena. Ikiwa nina Safari ya Bukoba... nina segment safari kwa Lami kwa siku 2.
Ile Distance Mwanza to Bukoba kupitia ziwa , There must be something wrong apart from Nguvu ya Mvutano.
Hoja yangu ya Msingi ni kuhusu hizi ndege za Precision
Mwaka 2011, pale KIA nikiwa na Lowasa na Sumaye, Tairi ya Precision ilipasuka wakati wa kutua , kukatokea taharuki kidogo lakini tukatoka salama.
2018 pale Tabora, tulitumia 30 minutes kutua kwa sababu tairi za ndege zilikataa kuchomoka, kila jamaa akijaribu tairi hazitoki.... baadae tukatua , Jamaa wakadai kuwa ni kawaida kwenye ndege.
Mwaka 2021, Hapo ndio nikaanza kuwaza kuhusu Precision, pale JNIA, tulitua kwa vibaya snaa kana kwamba tupo vitani.
Nimepanda ndege nyingi But ule mtuo, kila mtu alistuka na tukauliza nini shida... hawakutoa majibu.
Hapo hapo JNIA siku nyingine , wakati wa kutua , tairi ni kama iliwaka moto yaani ile kutoa cheche nyingi .... na ilipotua ilitua kwa kishindo ambacho sio cha Kawaida na kila mtu alihoji na wote tulistuka sana.
Baada ya hapo nikawa nimeona Red light , nikasema sipandi tena hizi ndege za
Precision
. Majibu yao baada ya kuhoji yalikuwa ni Joto la Dar ni kubwa ndio maana tairi zimewaka moto.
/
Inawezekana kabisa hali ya hewa ilichangia kutokea ajali lakini Inawezekana kwa asilimia kubwa ndege ilikuwa na shida kama kawaida yao.
Rubaga ni Rubani wa zaidi ya Miaka 25 kwenye kazi hiyo , anajua well enough nini cha kufanya kwenye mazingira hayo ya hali ya hewa...alikuwa anaweza kurudi mwanza na ni mara nyingi alishafanya Hivyo.
Ile ya juzi , ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na itilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.
Naishauri Serikali , Isimamishe shughuli zote za Precision na kufanya uchunguzi yakinifu.
Kufanya special inspection ya ndege zote zinazomilikiwa na Precision Airways ikiwa ni pamoja na kufanya Age analysis. usikute haya mandege yamesha Expiry muda wake wa matumizi.
Kufanya special inspection kwa injinia wote wa Precision wanaokagua ndege kabla na baada kama kweli wanavigezo.
Mkurugenzi wa Precision awekwe chini ya ulinzi to extend further special inspection..... machozi yake yana maana nyuma ya pazia , wanajua wazi kuwa hawalipi vyema mainjinia wa Technical inspection. Matokeo yake wanafanya kazi les affairs na kisela.
Wanakagua ndege na kuziba ziba pancha kama waziba daladala za buza.
Hali ya hewa inachukua nafasi ndogo sana kwenye ile ajali, ile ndege ilikuwa ni MBOVU.
Rubani aliyeendesha ni Experienced one , kwa hali ya hewa alikuwa na option nyingi na kwa kufanya mawasiliano na watu wa nchi kavu angeenda kutua Mwanza.
Hapo chini ni uzoefu wa Rubaga... ni zaidi ya 30 years
Captain Buruhani Rubaga
Captain
Precision Air Services PLC
2003 - Present · 19 yrs 11
Zantas Air
1993 - May 2003 · 10 yrs 5 mos
First Officer
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
1990 - 1993 · 3 yrs Bachelor's degree, Mechanical Engineering
1983 - 1987 Sri Jayachamarajendra College of Engineering, Mysore (QIP Centre)
Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Shida ni kwamba watu wengi awataki kukubali kuna protocol procedures za airline kwenye evacuation; ambazo azikifuatwa.
Na wala sio jambo la kushangaza civilians boats kufika wa kwanza in most cases if not all ndege zinazoanguka baharini.
Kuna watu wengi wa kulaumu ila mshitakiwa wa kwanza kama kuna kesi ya negligence mahakamani ni precision air.
Kuna video nyingi you tube za mashirika ya ndege wakitoa training kwa cabin crews on evacuation procedures. Na kuna video za ndege nyingi zilizotua majini kwa dharura kuona how that training was executed.
Precision Air is blameworthy