Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

Kuna uwezekano hizo ndege zake zinaruka tu Kila siku

Wakati zilipaswa kuwa grounded permanently due to safety reason.

Nikizionags naona kama mikangafu Fulani hivi
 
Huyu jamaa ana haraka mno. Yeye anajua ujazo wa mafuta ya ndege? Hari ya hewa ikiwa mbaya ina determined akirudi kule atatumia masàa mangapi kuresque. Tushukru Mungu tu huyu rubani alijitahidi ndege sio mbovu. Kwa nini serikali isilaumiwe kwa kutokenga uwanja wa kajunguti kwenye usalama zaidi. Sisi hili ziwa tunalifahamu. Likichafuka haswaa unaweza ukadhani gharika sasa linakuja. Yaani panatisha vibaya tena basi kukiwa na radi.
 
Punguza ujuaji.
Kama tairi zingegoma toka asingejaribu kutua BK angerudi Mwanza.
Tairi hutolewa mapema kabla hajaanza taka tua

Umeelewa kilichoandikwa ?
 
Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Hivi mleta mada, tatizo kwenye ile ajali hadi watu 19 wanakufa ni hali ya ndege au ukosefu wa huduma ya haraka ya uokoaji??

Vipi wananchi wenye akili nao wakidai PM na RC wajiuzulu kwa kushindwa kuweka mazingira sahihi ya udhibiti wa majanga na uokoaji??

Hivi unajua kuwa majanga, ajali na dharura kama hizo ulizotaja zipogo tu?

Kama tunakubaliana zipo je, serikali ilifanya kila kitu sahihi ili sasa lawama zibaki kuwa za Precision Air?

NB: Nakushauri usome Sendai Framework for Disaster Risk Reductions ujue majukumu ya serikali na wadau wengine.
Japo umeandika mengi lakini wewe ni mweupe sana.
Na msifikiri kuwa ATCL itaperform vizuri kwenye local market endapo mtaondoa competitions kwa kuifungia Precision Air.
 
Bongo hakuna uchunguzi unaoaminika.

Wote wanaujua kuhusika hadi sasa tayari watakuwa washaandaa mabahasha na kuyaweka sawa

Kama Watanzania mnasubiri Black Box ambayo ni Jambo la kwanza ilipaswa kutangazwa first thing kuwa Black Box imeonekana

Hilo halijasemwa Na kwa uzembe wa TZ hilo litapita Hivyo
 
Pilot/Rubani anawajibika moja kwa moja kwa ajali hiyo!
 

Hiyo ukosefu wa HUDUMA ni mada nyingine kaka
 

Upo so defensive, sipo Hapa kuharibu reputation yenu . Umekosa mental maturity

Hakuna mahal nime mention ATCL
 
Kama Watanzania mnasubiri Black Box ambayo ni Jambo la kwanza ilipaswa kutangazwa first thing kuwa Black Box imeonekana

Hilo halijasemwa Na kwa uzembe wa TZ hilo litapita Hivyo
Kwani ndege ilisambaratika. Si ipo intact sasa unauliza kitu kilicho obvious...weee jamaa you are nothing but a clout chaser...a true faker
 
Wivu tuu unakusumbua

Mbona mabasi kibao yanapataga ajali hayafungiwi.

Mbona boti kule VISIWA vya UKARA ilipata ajali mbona mkufungia.

Watanzania wengi hatufanikiwi kwa sababu ya wivu na umaskinii.

Unaona wenye presicion Air wanafaidi sana

Tafuta hela acha ulozi.


Ajali inatokea popote na hakuna anayejua kesho.

Wape wenzako polee

Roho mbaya tuu inalusumbua kama ile Shule ya Chalize iliyotaka kumuharibia mtoto maisha yake
 
Nimewahi kupanda Precision ile kutoka Dar tu baada ya dkk 15 engine moja ikazimika na tulikuwa tunaelekea Kilimanjaro,tulisafiri na engine moja hali ya abiria ilikuwa mbaya sana tukiangalia propeller moja haifanyi kazi hadi tunatua KIA tulikuta Vikosi vya Fire vinatusubiria airport ,ukweli iliniathiri sana kupanda hizo ndege kwa karibu miaka 3, Mimi napendekeza zichunguzwe pia ,
 
Nafikiri kwenye ndege, business model ya cost minimization for profit maximization inaweza ikafanyika mostly at the expense of safety hasa kwa shirika kama precision. Nimekuwa nasikia mashirika makubwa ya ndege yanaweza kutengeneza hasara mfululizo hadi miaka 10, ndo nikagundua kwamba yatakuwa yanatumia gharama kubwa sana kuhakikisha usalama wa ndege na abiria hivyo wapo very strict kwenye maswala ya periodic maintenance and inspection na wanatumia mainjinia ambao ni vichwa with track records and experience. Nafikiri ni biashara inayohitaji mtaji mkubwa sana kwa ajili ya expansion na kuhakikisha ubora wa ndege na good management.​
 
Yaa, nafikiri hili na lenyewe lilikuwa tatizo, ilikuwaje cabin crew hawakufanya jitihada za ku evacuate abiria, badala yake nimesikia wao waliruka kujiokoa. Otherwise, they were taken at a surprise........hawakuwa na idea ni kitu gani kilikuwa kinaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…