Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

" mimi na mzungu tulikuwa tumechill,"...😁😁😁
 
naunga mkono hoja.
tena kuanzia leo, hizi ndege hazifai kabisa kufanya masafa marefu
 
Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
Mzee wewe unaamini sana katika huo uchunguzi wa serikali kuliko uhalisia wenyewe? Na kama wasipotoa au wakitoa baada ya miaka mi3?
 
Kumbe Kuna shirika na ndege? Ni vitu tofauti sanae
 
Umeongea vizuri sana mkuu,niliwaza kama unavyowaza wewe,hii ndege ilikuwa na hitilafu,swala la hali ya hewa sidhani kama linahusika hapo...
 
Taili za ndege zikishindwa toka Zinatolewa manually,tatizo mifumo ya hydraulic ikishindwa kazi.Maana ndege inaweza tua hata ingini zikizima Kwa kutumia generator ya upepo kuiendesha mifumo ya hydraulic
Manually ndo zinatokaje mzee wakati ndege iko hewani
 
Mzee wewe unaamini sana katika huo uchunguzi wa serikali kuliko uhalisia wenyewe? Na kama wasipotoa au wakitoa baada ya miaka mi3?
Aviation industry haiko namna hiyo mzee...huna la kuficha, kila kitu kitakuwa wazi
 

Mimi niliacha kuzipanda kabisa. Sitaki kusikia hiyo kitu
 

Ni kweli lakini kwa hawa Jamaa, nashauri serikali ipitie records zote za maintenance na hizo inspection. Pamoja na kuangalia team unayofanya hivyo vigezo vyao
 
Precision airways ndo kitu gani?

Unakunywa kangala huko unakuja kuleta mataapishi hapa.

Watu mnajifanya wajuaaaaaaaaaji utumbo mtupu
Jikite kwenye mjadala. Wacha kuchukua vimakosa vidogo vidogo. Alafu inaonekana akili yako ni fupi mtu ameweka facts zake ww unamuita eti anajifanya mjuaji!!!
Kumbaf
 
Ile ya juzi , ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na itilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.
Mbona black box bado haijafunguliwa au uliichukua
 
Kama Watanzania mnasubiri Black Box ambayo ni Jambo la kwanza ilipaswa kutangazwa first thing kuwa Black Box imeonekana

Hilo halijasemwa Na kwa uzembe wa TZ hilo litapita Hivyo
unawajua fisiemu weye!
washa sepa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…