Serikali isiogope na wala isiendeshwe na posts za mitandao ya kijamii!!

Serikali isiogope na wala isiendeshwe na posts za mitandao ya kijamii!!

Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua.

Bado wanajiaminisha kuwa posts zao tu zinaamsha hisia za wananchi na jamii ya kimataifa. Wamelekewa hivyo na wameamini hivyo kwa miaka takribani mitano.

Hawa ngwini ndio wamekuwa wanaendesha Serikali kwa muda huu. Sasa ni wakati wa kuwaonesha kuwa uwezo feki waliojipandikiza ni upuuzi.

Tuwapinge na kuwapuuza vilaza hawa kwa kauli kali sana dhidi yao.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hakuna silaha hatari kuliko zote kama kalamu, ni silaha ya maangamizi kama nyuklia serkali haipaswi kupuuza malalamiko ya wananchi hasa ktk kipindi hiki kigumu tunapokwendea uchaguzi. Kuna mambo mengine ni sahihi na mambo mengine yanaongezwa chumvi serikali inatakiwa iwe makini na Propaganda zote za wanasiasa na wana harakati wawe wa chama tawala au upinzani.
 
jadili hoja brother
Kuna hoja gani hapo.Ulikaa nakina nani wakakwambia hayo uliyokuja kuyaandika hapa.au ni hisia zako zinakutuma hivyo alafu unajiaminisha ndivyo watu wanavyoamini.kama akili zako zinakutuma hivyo basi wewe utakua ni mtu dhaifu usiyejua kutofautisha majukumu ya serikali na vyanzo vya wananchi kupashana habari na haujui nikwanini serikali inafanyia kazi hizo taarifa za mitandaoni.
 
Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua.

Bado wanajiaminisha kuwa posts zao tu zinaamsha hisia za wananchi na jamii ya kimataifa. Wamelekewa hivyo na wameamini hivyo kwa miaka takribani mitano.

Hawa ngwini ndio wamekuwa wanaendesha Serikali kwa muda huu. Sasa ni wakati wa kuwaonesha kuwa uwezo feki waliojipandikiza ni upuuzi.

Tuwapinge na kuwapuuza vilaza hawa kwa kauli kali sana dhidi yao.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
ASANTE SANA.NA UMEWASAHAU NA MAASKOFU PIA..

WAAMBIE SERIKALI HAIENDESHWI NA MATAMKO YAO YA KINAFIKI.
 
Back
Top Bottom