Serikali isiogope na wala isiendeshwe na posts za mitandao ya kijamii!!

Hakuna silaha hatari kuliko zote kama kalamu, ni silaha ya maangamizi kama nyuklia serkali haipaswi kupuuza malalamiko ya wananchi hasa ktk kipindi hiki kigumu tunapokwendea uchaguzi. Kuna mambo mengine ni sahihi na mambo mengine yanaongezwa chumvi serikali inatakiwa iwe makini na Propaganda zote za wanasiasa na wana harakati wawe wa chama tawala au upinzani.
 
jadili hoja brother
Kuna hoja gani hapo.Ulikaa nakina nani wakakwambia hayo uliyokuja kuyaandika hapa.au ni hisia zako zinakutuma hivyo alafu unajiaminisha ndivyo watu wanavyoamini.kama akili zako zinakutuma hivyo basi wewe utakua ni mtu dhaifu usiyejua kutofautisha majukumu ya serikali na vyanzo vya wananchi kupashana habari na haujui nikwanini serikali inafanyia kazi hizo taarifa za mitandaoni.
 
ASANTE SANA.NA UMEWASAHAU NA MAASKOFU PIA..

WAAMBIE SERIKALI HAIENDESHWI NA MATAMKO YAO YA KINAFIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…