Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Mambo mawili tuu

1. Inatakiwa kuhakikisha ina coronavirus Test kits za kutosha mijini na vijini

2. Inatakiwa kuhahakisha kuna stock za kutosha za Masks .


Added..
3. Inatakiwa kuhakikisha wananchi wapo salama kwa kuzua maambukizi kutoka maeneo ambayo tayari yameadhirika.. lockdown.

4. Inatakiwa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa za kitaalam juu ya mwenendo wa corona na hatua za kuchukua pamoja na serikali kuwasimamia wananchi kuhakikisha wanafuata maelekezo ya watalaam.


Ni hayo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We should shutdown our airspace for three weeks and go into 100% lockdown. In North Korea, the country is in total shutdown.

The interesting thing is Covid - 19 has no cure and you cannot go to Europe or U.S or India to seek treatment. Everyone is equal to the Corona Virus. I hope this one will bring some serious senses to our selfish politicians kutoa vipaumbele kwa huduma zetu za afya nchini.
 

Vile vile wapige marufuku safari za na kutoka/kwenda India, leo nilishangaa sana nilipo sikia kwamba safari za ndenge kwenda/kutoka India bado hazija sitishwa, vile vile tuwe makini sana pale Kariakoo ambapo mwingiliano wa wafanya biashara kutoka nchi zinazo pakana Tanzania specifically wanao toka Congo DRC, Kenya nchi ambazo zimethibitika kukumbwa na wagonjwa wa virusi vya Corona pamoja na Uganda ambako Mbunge mmoja amesema alikwenda kwenye matembezi huko Korea Kusini na Afrika kusini lakini alipo rudi Uganda hakuwekewa au kukimbizwa Hospitalini kwa uchunguzi zaidi, aliyasema haya jana akiwa Bungeni, niliona Wabunge wakikimbizana sasa sijui kama Bunge zima litalazimika kupimwa afya zao au la, narudia kusema K'koo tuwe makini sana na mkusanyiko wa watu wanao toka nje.

Nimalizie kwa kusema kwamba wana sayansi wa Kichina wamesema kwamba virusi vya Corona vinaweza wa kukaa kwenye ndani ya mwili kwa mwezi mzima bila ya muhusika kuonyesha dalili zozote za ugonjwa, hivyo dhana ya kufikiri suspects wakitengwa kwenye chumba maalumu Hospitalini kwa wiki mbili halafu kiachiwa hiyo no hatari sana, wakae hata miezi miwili to be on safe side.
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…