Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Toa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
 
Kwakweli hili gonjwa ni hatari na haswa linaua zaidi wazee na watu ambao tayari wana magonjwa mengine kama Ukimwi Presha Kisukari nk

Mimi nilikesha jana kwenye maombi ili hata kama kuanza lianzie huko huko kwenye muhimili uliojichimbia zaidi

Kumpiga Tundu Lissu risasi hakusaidii sana kajiletea Laana tu.
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidia na ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini TANZANIA bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watanzania.
Naam, hii si ajabu kwa serikali inayowateka, kuwatesa na kuwaua raia wake, serikali inayowabambikia kesi wawakilishi wa wananchi, serikali inayowafunga, kuwamiminia risasi na kuwadhalilisha wabunge, serikali inayotumia vyombo vya dola kutafuta na kung'ang'ania madaraka yanayowazidi kimo na uwezo, serikali inayoongozwa na viongozi wasio na hekima wala busara...
 
Hili suala la kuruhusu safari za ndege ziendelea na mipaka kuwa wazi lina defy logic kabisa kipindi hiki cha majanga.
Yaani unafunga shule na vyuo, halafu ndege kutoka nchi high risk zinaendelea kuingia!
Wananchi tupaze sauti. Wenye mamlaka, please,restrict entry for travellers from Europe, Iran, US and China.
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Wewe kula kulala una matatizo makubwa sana na mbaya zaidi shule na vyuo zimefungwa.
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.

Unaongelea Bunge gani mkuu, hili la Ndugai?
 
Nina imani marais na mawaziri wakuu kwenye hizi nchi tayari mabunge yao yamewatoa madarakani.

COVID-19 CORONAVIRUS OUTBREAK :: LIVE UPDATES

corona_current.jpg
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Mleta mada tafuta chuki nyingine na aliyewaloga amekufa, na dua la kuku ...
 
Back
Top Bottom