42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,916
Aiseee siku corona ikiwapata ntafanya na sherehe.Utasubiri sana na hicho kiduku!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee siku corona ikiwapata ntafanya na sherehe.Utasubiri sana na hicho kiduku!
Ukweli ni kwamba huyu ndugu anayejifanya ni mtu wa wanyonge hafai kabisa. Eti unaamuru taasisi zote za elimu zifungwe lakini unafungua mipaka na kuruhusu watu kuingia na kutoka nje ya Tanzania! Tunatwanga maji kwenye kinu. Kwanini wakubwa wacheze kamari na maisha ya wananchi? Napendekeza hawa watu wanaoingia kituo cha kwanza kiwe ni kwenda kumsalimia jiwe na kumpongeza kwa juhudi za kuinua uchumi wa Tanzania. Nafikiri akinaswa yeye na hili gonjwa ndio watashika adabu na kufunga mipaka kwa muda. Yaani kwake fedha ni zaidi ya uhai wa watu wake?Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Kwanini serikali yako na chama chako wanatutoa kafara sisi wanachi? Kwanini hamtaki kufunga mipaka? Kwanini mnaruhusu wenye Corona kuingia nchini?Chadema mmefilisika kisiasa kabisa!
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Jamaa hili la hovyo sana! Linashindwa kuwalinda raia wake. Au linajua hatukumpigia kura kwa hiyo tuangamie tu?Sio tu corona kula pesa za watu wa kagera kwenye tetemeko ilikuwa tiketi ya kufukuzwa ikulu.
Toka mwaka 2016 jamaa alitakiwa kuwa chato.
Yaani jamaa pamoja na kuwa hakushinda urais lakini bado tu analandalanda Ikulu.
WanaCCM akili zenu mnazijua wenyewe. Kwa hiyo huna hata habari kwamba kuna nchi huwezi kuingia wala kutoka? Nchi hizo zimeona bora zibaki na wagonjwa waliomo ndani ya nchi ila wasiongezeke wengine toka nje. Wewe bado unasifu na kumwabudu huyo mungu mtu wenu, malaika wa kuzimu.Toa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
Hata kifo kimoja hakuna, we we kelele tuHii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Hata kifo kimoja hakuna, we we kelele tu
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Kwani nani alishinda tumpe na chama chake?Sio tu corona kula pesa za watu wa kagera kwenye tetemeko ilikuwa tiketi ya kufukuzwa ikulu.
Toka mwaka 2016 jamaa alitakiwa kuwa chato.
Yaani jamaa pamoja na kuwa hakushinda urais lakini bado tu analandalanda Ikulu.
Dr. Bashiru Ally jitokeze kutwambia mnatulindaje na hili janga? Mbona huwa unajitokeza kutuonyesha wanaounga mkono juhudi na sasa hutaki kujitokeza kutwambia unatuteteaje na janga hili wewe, chama chako na serikali yako? Hamuoni kuwa mnatuumiza? Mnaleta utani mbele ya uhai wetu?
Hongera Kwa kutimiza jukumu la Uhuru wa kutoa maoniMada nzuri sana wachangiaji wachache
Hii inaonyesha ni kiasi gani hatujitambui
Huyu Rais alipashwa awe amevuliwa madaraka siku nyingi kwa mambo kadha wa kadha
Anavunja sana Katiba Hajiheshimu Hayuko serious na maisha ya WaTz Mropokaji Mfujaji wa Pesa za Umma kibaya zaidi anaidhinisha mateso kwa wakosoaji
CHAD .Eritrea na nyingine nyingi tuToa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
Apo chuki ipo wapi? Kwahiyo Bunge lilitunga sheria mbovu..Soma penal code cap16-no.179