Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Acha upu

Acha uzwazwa ww, mungu atatusaidia kwani nchi nyingine zilizoathirikA hawana mungu ? Daah very hopeless
Yes atatusaidia lakin lazima tuchukue hatua. Sio tunaomba halaf tumekaa tuu kama mawe trust me.. hali itazidi kuwa mbaya.
Wenzetu waganda wanaonyesha progress kuudhibit huu ugonjwa.
Wanawezaje?
Kwamba wao maombi yao yanafika haraka kwa Mungu kuliko yetu. No.
Bali wamechukua hatua na wako serious.
Jana sweden ilitangaza iko free from corona.. wamewezaje kudhibiti? Au wanaomba sana kuliko sisi?

We must act..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Sio Bunge wala mahakama iliyo na nguvu dhidi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... dhana ya kufikiri suspects wakitengwa kwenye chumba maalumu Hospitalini kwa wiki mbili halafu kiachiwa hiyo no hatari sana, wakae hata miezi miwili to be on safe side.
Suspects ni kila mtu. Basi tukufunge Amana miezi 2!
(usisahau kubeba chakula kidogo, nasikia hawana...)
 
Suspects ni kila mtu. Basi tukufunge Amana miezi 2!
(usisahau kubeba chakula kidogo, nasikia hawana...)

Mkuu wanao tisha ni hawa ambao ni asymptomatic - hawaumwi lakini wanakuwa ni ma carriers for life kama chanjo/dawa hazita vumbuliwa the soonest - watu wanawalahumu Wachina bila sababu baada ya kuwakamata baadhi ya Wafrica ambao wilithibitika kuwa ni ma carrier wa COVID-19 lakini wao walikuwa hawana habari.
 
Mkuu wanao tisha ni hawa ambao ni asymptomatic - hawaumwi lakini wanakuwa ni ma carriers for life kama chanjo/dawa hazita vumbuliwa the soonest - watu wanawalahumu Wachina bila sababu baada ya kuwakamata baadhi ya Wafrica ambao wilithibitika kuwa ni ma carrier wa COVID-19 lakini wao walikuwa hawana habari.
Carriers for life? Hii umepata wapi? Virusi vikiingia mwilini kama kawaida mfumo wa kinga (immune system) unaanza kazi. Hapa kutegemeana na mtu atakuwa na dalili za kudhoofika (yaani anaweza kuonekana mgonjwa) au la (kama mfumo wa kinga unamaliza virusi haraka). Akionyesha dalili za ugonjwa hii ni ishara kwamba mfumow ake unapambana na virusi vikali. Kwa kawaida atapona, virusi vitakwisha ndani yake. Asipopona, atazikwa na virusi, na virusi vitakufa kaburini.

Hii Covid-19 inaonekana si maambukizi hatari sana kama Ebola au virusi kadhaa vingine (linganisha asilimia za viwango vya kifo kati ya hao walioambukizwa). Tatizo lake ni kiambukishi (infective) kushinda virusi vingi, sanasana. Hivyo inaathiri idadi kubwa zaidi kuliko virusi vingine. Na hata kama vifo vyake ni 0.5 % pekee, basi nusu asilimia ya wagonjwa milioni 100 (500,000) ni wengi kuliko 10% za milioni 1 (=100,000).
 
Back
Top Bottom