Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Ni haki yako lkn kikatiba kubwabwaja kiasi utakacho, Bunge la Marekani limeshindwa mtoa Donald Trump licha ya vifo maelfu huku serikali yake ikijisifia kwa kupima watu million 5 out of 300+ million of the total population of the great 🇺🇸 .
Magufuli amewakosea nn jamani?
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Kwani ni lazima kumuondoa rais au kupinga anayofanya kwanza?
 
Huna hoja. Jikinge na Corona kwa usafi wa mikono na kutokusanyika pasipo lazima. Hatuwezi kuua uchumi wetu kwa kuogopa mafua yanayoweza kumalizwa na CHLOROQUINE
Nasikitika sana kwa huu mtazamo wangu wa awali; kwa sasa nakiri CORONA ni hatari kuliko UKIMWI mara 1000; Ukimwi una uamuzi wa kuupata au kuukataa kutegemeana na tabia zako; lakini hii CORONA haina formula ya namna utakavyoipata. Unaweza chukua tahadhari zote za WHO lakini mwezi wa ndoa akakuletea kitandani. Wazazi mnaweza chukuwa hata hatua ya kujifungia ndani, vijana wenu wakawaletea.

Tuombeana na tutiane moyo; zaidi sana tuwaweke katika sala wataalamu wote ambao wako kwenye kutafiti za tiba na kinga maana mafanikio yao ndio pona yetu.

I am very sorry for my earlier thought regarding COVID 19
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.

1. Akitoka madarakani kwa hicho kigezo, akaja mwingine, atafanya kipi ambacho Mh. hajakifanya na cha muhimu zaidi katika vita hii?

2. Kila kitu kimefanyika kasoro kufungia watu ndani na kukataza watu kuabudu kwa pamoja. Umetafiti ukagundua na kuamini kwamba nchi zilizofungia watu na kuzuia ibada, zimedhibiti maambukizi kuliko sisi?

3. Unaelewa kwamba sasa nchi nyingi zimetambua kufungia watu ndani hakubadili matokeo na sasa wanaanza kufungua?

4. Unaweza kutoa mawazo yako wewe, ungepewa hicho kiti, ukafungia watu ndani wanaoendesha maisha kwa miguu yao, ungefanya nini kuhakikisha wanapata mahitaji yao ya chakula wakiwa ndani? Watu wangapi wangekufa kwa njaa? How could you control that? Naomba tujadiliane.

Kipindi hiki kinahitaji busara zaidi na mshikamano. Kumbuka vita ya sasa haina dawa ila ni kinga. Umeona takwimu za mauti ya New York? Hawajafungia watu ndani. Ni zaidi ya kukimbilia kulaumu viongozi.

COVID 19 ni zaidi ya unavyoifahamu. Tuchukueni tahadhari, tuendelee kumwomba Mungu. Hatuwezi kulazmishwa tufanye kama nchi zingine bila kujali our mfumo wetu wa maisha na kiwango chetu cha mazingira na hali zetu.

Tunahitaji kuwa wabunifu wa mikakati ya kutatua changamoto zinazoendana na mahitaji na uwezo wetu.

Tuache mihemuko, think positively na tuwe na mioyo ya kushirikiana na viongozi wetu wa nchi katika juhudi wazifanyazo.

Mungu atatusaidia kama tutaacha majungu, husuda, wivu, viburi, uzushi na udanganyifu.
 
Achilia mbali kuzuia wageni kuingia na kutoka, hata kutenga emergency fund kwa ajili ya Corona imeshindikana kabisa. Zile peza alizokuwa anagawa njiani si zingefaa kupeleka kununua vifaa vya kujikinga hawa wahudumu wa afya?
 
Kabisa. Ila kwa kuwa uchaguzi umewadia, mvumilieni tu, tutamchinja kwa kura. Ni mpumbavu pekee atakayempa kura
Ndugu yangu unachosahau ni kwamba hao unaowaita wapumbavu wametamalaki nchini na hilo ndilo tatizo la taifa hili; wapumbavu kutamalaki nchini Tanzania!

Kuna ushindani mkubwa unaendelea hivi sasa kati ya awamu ya tano na COVID-19...yupi ataweka rekodi ya kusababisha mateso na vifo vingi vya Watanzania kuliko mwenzake!
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
I smell a rat
 
Nasikitika sana kwa huu mtazamo wangu wa awali; kwa sasa nakiri CORONA ni hatari kuliko UKIMWI mara 1000; Ukimwi una uamuzi wa kuupata au kuukataa kutegemeana na tabia zako; lakini hii CORONA haina formula ya namna utakavyoipata. Unaweza chukua tahadhari zote za WHO lakini mwezi wa ndoa akakuletea kitandani. Wazazi mnaweza chukuwa hata hatua ya kujifungia ndani, vijana wenu wakawaletea.

Tuombeana na tutiane moyo; zaidi sana tuwaweke katika sala wataalamu wote ambao wako kwenye kutafiti za tiba na kinga maana mafanikio yao ndio pona yetu.

I am very sorry for my earlier thought regarding COVID 19
Usijali ndugu, tuko pamoja na tuzidi kupambana
 
Kwani Marais wao hawakuchua hatua ? Mbona waliitish
shA lockdown na travelling ban
 
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.

Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.

Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
VIP na wewe wamekuondoa kwenye Group la Wsp km yule wa Rombo???
 
Acha upu
1. Akitoka madarakani kwa hicho kigezo, akaja mwingine, atafanya kipi ambacho Mh. hajakifanya na cha muhimu zaidi katika vita hii?

2. Kila kitu kimefanyika kasoro kufungia watu ndani na kukataza watu kuabudu kwa pamoja. Umetafiti ukagundua na kuamini kwamba nchi zilizofungia watu na kuzuia ibada, zimedhibiti maambukizi kuliko sisi?

3. Unaelewa kwamba sasa nchi nyingi zimetambua kufungia watu ndani hakubadili matokeo na sasa wanaanza kufungua?

4. Unaweza kutoa mawazo yako wewe, ungepewa hicho kiti, ukafungia watu ndani wanaoendesha maisha kwa miguu yao, ungefanya nini kuhakikisha wanapata mahitaji yao ya chakula wakiwa ndani? Watu wangapi wangekufa kwa njaa? How could you control that? Naomba tujadiliane.

Kipindi hiki kinahitaji busara zaidi na mshikamano. Kumbuka vita ya sasa haina dawa ila ni kinga. Umeona takwimu za mauti ya New York? Hawajafungia watu ndani. Ni zaidi ya kukimbilia kulaumu viongozi.

COVID 19 ni zaidi ya unavyoifahamu. Tuchukueni tahadhari, tuendelee kumwomba Mungu. Hatuwezi kulazmishwa tufanye kama nchi zingine bila kujali our mfumo wetu wa maisha na kiwango chetu cha mazingira na hali zetu.

Tunahitaji kuwa wabunifu wa mikakati ya kutatua changamoto zinazoendana na mahitaji na uwezo wetu.

Tuache mihemuko, think positively na tuwe na mioyo ya kushirikiana na viongozi wetu wa nchi katika juhudi wazifanyazo.

Mungu atatusaidia kama tutaacha majungu, husuda, wivu, viburi, uzushi na udanganyifu.
Acha uzwazwa ww, mungu atatusaidia kwani nchi nyingine zilizoathirikA hawana mungu ? Daah very hopeless
 
Acha kumshiriksha Mungu ufe na uende kuzimu. KUshinda hapa unabisha kijinga ndiyo technolojia? Pumbavu.
 
Back
Top Bottom