Chuki gani mkuu wakati ni ukweli usiopingika kuwa kutifunga mipaka ya nchi yetu kuzuia wageni kutoka ktk nchi zenye huo ugonjwa ndo zizounaleta hapa nchini kwetu? We unazani kama wangezuia huu ugonjwa ungetokea wapi?
Watz acheni ujinga wa kishamba kisa tu ww na baba ano ni ccm ndo hata usiwe na macho wala akili ya kuona mabaya anayofanya jiwe wenu hata kama mtu unapenda hutakiwi kupenda kila kitu anachofanya bali kile kizuri na kibaya unatakiwa kukikataa na kumwambia hili sio sawa nyie vp aisee, sasa ona hizo hera mnazoziingiza kwa kutoka kwa hao wazungu wanatuletea huo ugonjwa zitatisha kupambana na hivi virus au ndo mtatumia gharama kubwa zaidi mara 50 ya ambavo mngezibiti na kufunga mipaka??
Ujinga siku zote ni mzigo mzito na ni hasara kwa wa Yz ambao hatuna kosa yaaki viongozi wetu wanatuingiza kweny hasara kama nchi na vifo vya kwa watu au kwa kuwa wanajua wao wako salama na hawataupata huu ugonjwa!?? Tungekuwa unajielewa na kujitambua Huyu rais na ccm yake tungewatoa madarakani kwa hii issue ya Corona ila kwa kuwa sisi ni wa kusifia na kuabudu kila kitu hata kibaya wacha tuvune tulichokipanda, yaani hata shule zisingefungwa watoto wetu mpka wanakosa kusoma, michezo yote kufungwa nk nchi inapata hasara ya kiuchumi kwa shughuli nyingi kufungwa na pia nchi hiyo hyo kutumia hera nyingi kweny kuhudumia na kudhibiti huyu kirusi , huu ni ujinga kabisaa wakat dawa ilikuwa moja tu kufunga mipaka,
wanafanya hivi ili wapige hera za hii nchi vizuri maana utaskia tumetumia bilion kadhaa kwa ajili ya kununua sjui nn kumbe ni uongo mkubwa, hii awamu watu wanapiga sana hera kwa njia hizi[emoji35][emoji35][emoji35]