Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu.

Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila kujali maslahi ya kisiasa.

Ongezeko la wamasai wa Ngorongoro ni janga kwa mustakabali wa wanyama na utalii. Sioni sababu kwann serikali inapata kigugumizi kuwaondoa. Hawa wako kwenye maeneo ya hifadhi hivyo wafurushwe. Mbona mikoa mingine watu wanapigwa risasi kwa kukata kuni, kuchungia mifugo ama kuwinda ndani ya hifadhi? What is so special with this primitive tribe?

Hit 'em up and evacuate all of them from the prestigious conserved area of Ngorongoro for better future of tourism.

CCM mlileta siasa kwenye suala la wamachinga awamu ya 5. Mkaruhusu wahuni hawa kupanga na kuuza bidhaa zao kila mahala. Matokeo yake awamu ya 6 ilipoamua kuwaondoa wahuni hawa wakaona kama wanaonewa. Na kuna wanasiasa walijitokeza kuwapigania ili wasiondolewe. This was and is still nonsense!

Sasa kwenye hili la wahuni wanaong'ang"ania kuishi maeneo ya wanyama, mkiwadekeza nchi haitatawalika. Kwasbb nchi nzima wananchi watavamia maeneo ya hifadhi..
 
Hili jambo siasa ziachwe kabisa naona linachukuliwa kama agenda. Ni wahamaji wapewe mazingira bora ya kuhamia ila kuhusu kuhama sio suala la mjadala.
 
Washajengewa nyumba na shule huko Tanga. Kwann hawataki kwenda?
 
Tena ningekuwa mm ndiyo Samia leo leo ningeamuru kikosi toka hapo Lugalo kiende Ngorongoro.

Watu wamepewa ardhi, wakajengewa shule na nyumba za kuishi halafu hawataki???!!!! No! No! Hell No!
Hawa sio wa kudekezwa,wakiachwa watasababisha na maeneo mengine watu wadharau mamlaka..

Uganda iliwahamisha watu wa Kabila la Dakwa kwenye hifadhi sembuse Hawa.
 
Hili jambo siasa ziachwe kabisa naona linachukuliwa kama agenda. Ni wahamaji wapewe mazingira bora ya kuhamia ila kuhusu kuhama sio suala la mjadala.
wengine wanachukulia swala hili kama mtaji wao wa kisiasa.la msingi eneo hilo liachwe kwa ajili ya hifadhi kwa maslahi pana ya taifa halafu hao wamasai wafanyiwe utaratibu mzuri wa kuhama na mifugo yao ili maisha yao yaendelee kama kawaida bila ya kuwaathili.
 
Mkuu unajua hao wamasai wameanza kukaa hapo ngorongoro lini? Kama hujui kaa kimya
 
Tena ningekuwa mm ndiyo Samia leo leo ningeamuru kikosi toka hapo Lugalo kiende Ngorongoro.

Watu wamepewa ardhi, wakajengewa shule na nyumba za kuishi halafu hawataki???!!!! No! No! Hell No!
Kweli mkuu huu utakuwa utoto,Nchi haiwezi kwenda kwa staili ya kubembelezana kwenye maswala ya msingi na yenye maslahi ya Nchi Kisa tuu Kuna uzushi wapuuzi wanajazwa gas na wenye mifugo huko..

Saizi wamezusha eti wamasai wanafukizwa Ili kuwapa eneo Waarabu wakati wanaelewa kwamba hao wanaharibu mustakabali wa hifadhi.
 
Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu.

Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila kujali maslahi ya kisiasa.

Ongezeko la wamasai wa Ngorongoro ni janga kwa mustakabali wa wanyama na utalii. Sioni sababu kwann serikali inapata kigugumizi kuwaondoa. Hawa wako kwenye maeneo ya hifadhi hivyo wafurushwe. Mbona mikoa mingine watu wanapigwa risasi kwa kukata kuni, kuchungia mifugo ama kuwinda ndani ya hifadhi? What is so special with this primitive tribe?

Hit 'em up and evacuate all of them from the prestigious conserved area of Ngorongoro for better future of tourism.

CCM mlileta siasa kwenye suala la wamachinga awamu ya 5. Mkaruhusu wahuni hawa kupanga na kuuza bidhaa zao kila mahala. Matokeo yake awamu ya 6 ilipoamua kuwaondoa wahuni hawa wakaona kama wanaonewa. Na kuna wanasiasa walijitokeza kuwapigania ili wasiondolewe. This was and is still nonsense!

Sasa kwenye hili la wahuni wanaong'ang"ania kuishi maeneo ya wanyama, mkiwadekeza nchi haitatawalika. Kwasbb nchi nzima wananchi watavamia maeneo ya hifadhi..
Lazima propaganda uchwara zipite juu ya jambo Hili kwani nani hataki miliki container la 40× 40 la minoti nyumbani kwake? Sasa tunajua na hatuwezi shangaa tena post za namna hii KWa Sasa , subilin ndo mtajua Mungu ni fundi, twende tu
 
Bora kusubilia huyo huyo Mungu ila wanatakiwa watoke iwe ni kontena la manoti au whatever
 
Lazima propaganda uchwara zipite juu ya jambo Hili kwani nani hataki miliki container la 40× 40 la minoti nyumbani kwake? Sasa tunajua na hatuwezi shangaa tena post za namna hii KWa Sasa , subilin ndo mtajua Mungu ni fundi, twende tu
Wamasai wanateswa sn
 
Mkuu unajua hao wamasai wameanza kukaa hapo ngorongoro lini? Kama hujui kaa kimya
Hata kama walianza kuishi kabla ya dunia kuumbwa mkuu. Katiba yetu imekabishi ardhi yote kwa mhe rais wa nchi hii.

Muda wowote anaweza kubadili matizi ya ardhi ya mtu ama jamii kwa maslahi mapana ya taifa.

Kwann hawa waigomee serikali wakati wametengewa eneo jinhine na kujengewa makazi na huduma zote?

Hell No!
 
Lazima propaganda uchwara zipite juu ya jambo Hili kwani nani hataki miliki container la 40× 40 la minoti nyumbani kwake? Sasa tunajua na hatuwezi shangaa tena post za namna hii KWa Sasa , subilin ndo mtajua Mungu ni fundi, twende tu
Unakumbuka wakati wa yule Msukuma wako polisi waliua watu waliokuwa waliogoma kutoka kwenye hifadhi kule ujiji na Zitto alipojitokeza kuwatetea akapewa kesi?
 
Back
Top Bottom