Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

Washajengewa nyumba na shule huko Tanga. Kwann hawataki kwenda?

Mkuu una uhakika kuwa wameshajengewa nyumba na shule huko Tanga? Unauhakika kuwa wameshalipwa fidia? Jiridhishe na hayo kwanza.
 
Mwarabu amewapa mzigo wa kutosha
nakumbuka wakati wa yule Msukuma wako polisi waliua watu waliokuwa waliogoma kutoka kwenye hifadhi kule ujiji na Zitto alipojitokeza kuwatetea akapewa kesi?

Kwahiyo jiwe alipewa mzigo?
 
Mkuu una uhakika kuwa wameshajengewa nyumba na shule huko Tanga? Unauhakika kuwa wameshalipwa fidia? Jiridhishe na hayo kwanza.
Hoja yao kuu siyo fidia. Wao wanassema hawaondoki eti Hilo eneo wamepewa na mwenyezi Mungu. Ebo!

Kwani huko Mbalali, Ujiji, Katavi, na kwingineko wanakoondolewa wao siyo watu?
 
Bora kusubilia huyo huyo Mungu ila wanatakiwa watoke iwe ni kontena la manoti au whatever

mtatafunwa na laana vizazi na vizazi, haya Mambo tuna yasema kikawaida Sana ila

Unakumbuka wakati wa yule Msukuma wako polisi waliua watu waliokuwa waliogoma kutoka kwenye hifadhi kule ujiji na Zitto alipojitokeza kuwatetea akapewa kesi?
Msukuma wangu yupi? Sasa Kama alifanya hivyo ndo umekua uridhi Sasa ,

Hapa shida ni mwarabu shindwa kubaliana na wananchi MOJA KWa MOJA katika meza ya mazungumzo matokeo yake anapitia KWa madalali walio influenced serikalin thats yanatokea haya

Zipo njia za mazungumzo Kati ya mwekezaji na wananchi bila serikali tumia mabavu pasipo kuwa na sababu KWa maslahi ya wachache,
Sasa uyo msukuma sijui ni yupi Kama alifanya ulivyoeleza Basi kwamwangalie maisha yake ,je anafaidika vipi au alifaidika vipi
 
nakumbuka wakati wa yule Msukuma wako polisi waliua watu waliokuwa waliogoma kutoka kwenye hifadhi kule ujiji na Zitto alipojitokeza kuwatetea akapewa kesi?

Kwahiyo jiwe alipewa mzigo?
Hakuna mtu alikuwa mla rushwa kama jiwe, rushwa ya nchi hii inaanzia juu kushuka chini
 
Msukuma wangu yupi? Sasa Kama alifanya hivyo ndo umekua uridhi Sasa ,

Hapa shida ni mwarabu shindwa kubaliana na wananchi MOJA KWa MOJA katika meza ya mazungumzo matokeo yake anapitia KWa madalali walio influenced serikalin thats yanatokea haya

Zipo njia za mazungumzo Kati ya mwekezaji na wananchi bila serikali tumia mabavu pasipo kuwa na sababu KWa maslahi ya wachache,
Sasa uyo msukuma sijui ni yupi Kama alifanya ulivyoeleza Basi kwamwangalie maisha yake ,je anafaidika vipi au alifaidika vipi
Sawa tuu ila lazima watoke kwa maslahi ya Umma,uzushi mwingine kamsimulie Mkeo.
 
Bora kusubilia huyo huyo Mungu ila wanatakiwa watoke iwe ni kontena la manoti au whatever
Haya msubilini na maovu yenu badala ya kutubu ,muone atakavyo wafyekelea mbali,
Katuleta Duniani tukiwa wasafi, hata nguo,viatu ,kitanda, mali hatuna, leo mnakengeuka na kuwatendeeni vibaya binadam wenzenu, mtakipata tu na imekua
 
Swala la ngorongoro haliitaji maamuzi ya mihemko kama hii yako.Ile ni jamii na serikali ndio iliyowaruhusu kuwepo pale kwa miaka zaidi ya umri wako.Na ni serikali hiyo hiyo iliyoshindwa kusimamia makubaliano yaliyofikiwa kipindi wamasai wanaruhusiwa kuishi pale.Sasa kama serikali inaona kuna haja yakuwaamisha sasa inatakiwa wahamishwe kwa nidhamu sio mabavu maana wale sio wavamizi.Hakuna sababu yakuharibu taswira nzuri ya nchi kwasababu ya uzembe wetu wenyewe,kutumia nguvu bila kua na majadiliano yenye kufikia muafaka nikutaka kuhatarisha amani kidogo ya nchi tunayojivunia tunayo.Vinginevyo tuseme amani imetuchosha sasa tunataka ugomvi.Hifadhi ni muhimu ziwepo ila binadamu na haki zake kwanza.
 
Kumbukeni mleta mada nanihii yake ilushatanuka!
Screenshot_20211116-153331.jpg
 
Back
Top Bottom