PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hilo eneo lingekuwa wilaya ya kinondoni wangekuwa wameshajenga kitambo Toka miaka 10 iliyopita..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUHUU BONA UNANIFAMIHA DAMDA HIHIIII?Unazingua Bana,
Wewe mlevi nini,
Hata mhindi sio hivi
Aibu kubwa,kuna siku kinaweza kwenda chini na magari. Daraja linabeba uzito mkubwa kutoka na idadi ya magari yalivyoongezeka sidhani kama lilikuwa design kubeba amount ya mzigo huu kwa siku kipindi linatengenezwa. Mimi nimetumia hiyo njia toka miaka ya 2000 bado daraja ni lile lile lakini matumizi yameongezeka. Tunahitaji upanuzi wa lile daraja liweze kuruhusu njia nne zipiteKile ki daraja, eti ndiyo kinapitisha magari yote ya kuja kusini kutoka Dar 🤔🤔🤔.
Tena ukiongeza na magari ya abiria na wakazi wa hapo hapo aiseee.....
Hilo eneo lingekuwa wilaya ya kinondoni wangekuwa wameshajenga kitambo Toka miaka 10 iliyopita.
Lori la leo lilikuwa limebeba contena linashusha mlimani pale likaacha njia likaaingia mtaroni baadhi nzuri halikuangusha contena ,imagine lingefanya hivo kama ambavyo ajali ya week kadhaa ilivyokuwa leo tungekuea na vifo vingineHii njia sijui kwann haionekani wakati ni karibu kabisa na mjini ! Mpaka najiuliza huku hakuna hata mbunge wa kuliona hili??? Njia inaongoza kwa foleni na ni nyembamba sana. AJALI ZA MARA KWA MARA PALE KWENYE KILIMA ALAFU SASA NJIA MBADALA UPITE CHEKECHEA KULE UJE KUTOKEA KONGOE NI NOMA SANA.
LAKINI CHA KUSHANGAZA WANAJENGA BARABARA ZA MITAA ZA LAMI MWANANYAMALA NA GOMBA HUKO ILA HUKU WAMEKUSAHAU KWAKUWA WANAKAA MAKABILA AMBAYO HAYANA MVUTO KWENYE NCHI.