Hii njia sijui kwann haionekani wakati ni karibu kabisa na mjini ! Mpaka najiuliza huku hakuna hata mbunge wa kuliona hili??? Njia inaongoza kwa foleni na ni nyembamba sana. AJALI ZA MARA KWA MARA PALE KWENYE KILIMA ALAFU SASA NJIA MBADALA UPITE CHEKECHEA KULE UJE KUTOKEA KONGOE NI NOMA SANA.
LAKINI CHA KUSHANGAZA WANAJENGA BARABARA ZA MITAA ZA LAMI MWANANYAMALA NA GOMBA HUKO ILA HUKU WAMEKUSAHAU KWAKUWA WANAKAA MAKABILA AMBAYO HAYANA MVUTO KWENYE NCHI.