Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hawa vijana wakishafi@#@@@$@ muda wote wanawaza maviNapiga Picha kwa mfano Mtumishi wa Afya lets Say Daktari anaenda kusomea udaktari Bingwa, kwahiyo huyu daktari asitishiwe mshahara na akimaliza shule aombe kazi upya?
Uchawi mkubwa!Akili ya kichawi hii.
Bado kidogo niseme Jiwe kafufuka?Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.
Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.
Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.
Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.
Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.
Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.
Ficha ujuha wako.Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.
Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.
Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.
Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.
Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.
Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.
Naomba akusome kwa makini na aelewe ulichomwambia vile vile AACHE WIVU.Walaa hujui maana ya capacity building
Lazima kama muajiri acapacitate watu wake kuwajengea uwezo
Hiyo sera sio kwa serikali tuu hata sekta binafsi ipo
Rasilimali muhimu kuliko yote duniani ni mfanyakazi na lazime umjengee uwezoo.
Na ni sera, so acha wivu na mawazo ya kimaskini mkuuu.
Usione kama wanafaidii
Tena kuna watu hadi wanalipiwa kabisa masomo mbali na mshaharaa.
Wakati nasoma chuo kimoja huko kwenye jiji letu kuu
Hazina walileta watu wao waje wasome na walikuwa wanalipiwa kila.kituuu na mishahara yao bado wanapokeaa
Kuna wengine wanatoka udaktari wanaenda fani nyingine kabisa mfano uhasibu ,ualimu nkNapiga Picha kwa mfano Mtumishi wa Afya lets Say Daktari anaenda kusomea udaktari Bingwa, kwahiyo huyu daktari asitishiwe mshahara na akimaliza shule aombe kazi upya?
Na hawa ndio baadae wanakuja kupewa ofisi za umma kufanya maamuzi makubwa ya kitaifa kwa uelewa huo alio naoAkili ya kichawi hii.
AiseeHawa vijana wakishafi@#@@@$@ muda wote wanawaza mavi
AiseeBado kidogo niseme Jiwe kafufuka?
Huenda asiwe competent kulinganisha na wenzake .Ficha ujuha wako.
Daktari alienda kusoma akiludi aombe upya we pambana na hali yako
Ukisikia paaaaaa ujue......Ww baki private huko, tutolee uchawi hapa.
Sio rahisi mwajiri kukupa ruhusa kama unaenda kusoma fani tofauti labda kuwe na uhitaji huo na UkimalIza masomo unafanyiwa recategorization kufanya kazi za taaluma uliyosomea.Kuna wengine wanatoka udaktari wanaenda fani nyingine kabisa mfano uhasibu ,ualimu nk