Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

Kwanza kabisa ajira serikalini zingekua niza mikataba miaka mitano pia ingepigwa marufuku mtu kuwa na ajira zaidi ya mbili hivi inakuaje mtu mmoja awe mbunge awe waziri awe mkurugenzi wa bodi flani awe mlezi wa umoja wa walemavu yaani kote huko anapokea posho, marupurupu na mishahara.
 
Kingine unakuta jitu limestaafu na lilikua ofisini takribani miaka 40 na ukumbuke jitu hilo lina pension tayari ila unakujakuskia limeteuliwa tena kuwa mkuu wa mkoa fulani au mlezi wa chuo flani
 
Kwanza kabisa ajira serikalini zingekua niza mikataba miaka mitano pia ingepigwa marufuku mtu kuwa na ajira zaidi ya mbili hivi inakuaje mtu mmoja awe mbunge awe waziri awe mkurugenzi wa bodi flani awe mlezi wa umoja wa walemavu yaani kote huko anapokea posho, marupurupu na mishahara.
Kwa jinsi hii kuna watu wame bumbiwa CVs na wengi hawana content, unfortunately ndiyo ambao wanawekwa kwenye strategic positions wakidhaniwa kuwa ni wenye experience na expertize, kumbe wasanii wakubwa...Akifungua kinywa kutoa mada ndiyo unagundua emptiness walizonazo, kisha ukitajiwa nafasi yake unabaki kushika mdomo, yet watu wenye content wamenyimwa nafasi kwa tabia hizi mbaya...
 
Serikali haiwezi kujivua wajibu wa kuzalisha ajira directly (kupitia uwekezaji wa moja Kwa moja) au indirectly (kupitia private sector)
Serikali inatakiwa isifanye biashara bali iwe ni msimamizi tuu, biashara ni jukumu la sekta binafsi, ila serikali inaweza kuendelea kuhodhi strategic sector za huduma muhimu kama utilities, communications, public information, na public transportation.
Mnufaika wa kwanza kutokana na job creation ni serikali yenyewe kwamba anacho cha kuonyesha kama mafanikio yake kiuongozi. Ili kama vipi tumpe tena dhamana.
Not necessarily
Nchi zina raslimali ambazo kupitia hizo zinaweza kufanya uwekezaji. Kwani madege, viwanda, migodi, ma reli nk ni vya nini?
Ndio jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi to flourish na kufanya jobs creation.
Hawana haja ya kujua ajira ngapi zimezalishwa, ngapi zimekufa na wala kwa nini.

Siyo maajabu ya Mussa hayo?
Its not true ndio maana TAESA wapo .
P
 
Serikali inatakiwa isifanye biashara bali iwe ni msimamizi tuu, biashara ni jukumu la sekta binafsi, ila serikali inaweza kuendelea kuhodhi strategic sector za huduma muhimu kama utilities, communications, public information, na public transportation.

Not necessarily

Ndio jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi to flourish na kufanya jobs creation.

Its not true ndio maana TAESA wapo .
P
Acha ubabaishaji!
 
Acheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Watanzania tuko milioni 60, work force ya ajira za serikali na mashirika yote ya umna ni less than 1.M. tunatakiwa kutengeneza a very vibrant private sector hadi mama mtilie, machinga hadi ile ajira kuu duniani , the oldest professional, walipe kodi, serikali abaki kuwa msimamizi tuu.
P
 
Jibu sahihi la hoja hii ni #9,tunapoifanya serikali kuwa ndiye mwajiri mkuu (kama Tanzania)tunaipa mtaji serikali kuku control nchi kwa kutumia silaha ya ajira, idara ina nafasi 4 za uajiri ,watarajiwa 10k wanaomba ajira hii!!,middle class wa kitanzania mrudi kwenye basic, kuweni grounded na mass huku chini ili muelewe hali halisi iliyopo, na ikifanyika push 🔙 wahusika wanapata ujumbe moja kwa moja, SIO wajibu wa serikali kutoa ajira, wajibu wao ni kuandaa mazingira wezeshi ili watu wajiajiri na kwa private sector iajiri.
 
Watanzania tuko milioni 60, work force ya ajira za serikali na mashirika yote ya umna ni less than 1.M. tunatakiwa kutengeneza a very vibrant private sector hadi mama mtilie, machinga hadi ile ajira kuu duniani , the oldest professional, walipe kodi, serikali abaki kuwa msimamizi tuu.
P
Kwahiyo private sector inasimamaje pasipo sera za nchi? Nani ni mtekelezaji wa sera za nchi? Do you see how you cheat the people who trust you? Si lazima kila jambo uchangie mengine kama huna deeper understanding kuliko kupotosha unapiga kimya....

Hakun ajira kama hakuna sera na utekelezaji wa sera zenye kuzalisha ajira...JPM alipofuta seminar aliathiri ajira ngapi? Je mbadala wake ulikuwa upi kama siyo kukwamisha wale wote ambao waliweka miundo mbinu ku service hizo seminar? Na alidanganywa na watu kama wewe, ambao kauli zenu zina heshimika lakini ninyi wenyewe hamtambui nafasi mliyopewa katika jamii...Mnaihujuma sana nchi yetu ninyi binadamu mliopewa nafasi na jamii kisha mkashindwa ku meet expectations zao
 
Acheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Hapa tutatufautiana sana mkuu, sio wajibu wa serikali kuajiri na ukiangalia serikali za wenzetu idadi ya waajiriwa wa serikalini ni wachache kulinganisha na sectors binafsi, angalia waajiriwa wa Amazon, Anglo-American hizi ni private sector ambazo zimewezeshwa na serikali ili zitoe ajira
 
Ni ustaarabu kukubali kuwa hujui kisha uliza how kuliko ku extrapolate limitation ya understanding yako kwa population nzima ya watanzania...Na hii ndiyo tatizo la wale wote wanaopewa nafasi katika jamii...Kwakua ubongo wake umeshindwa kujua namna na jinsi anadhani haiwezekani...Ku create ajira ni kazi number moja ya serikali yeyote duniani ndiyo sababu hata ukisoma report ya intelligence ya mwezi uliopita America VP wap anaonuesha jinsi serikali yake ilivyoongeza ajira...

Kuna tofauti kubwa kati ya serikali kuw amwajiri na serkali kutengeneza ajira...Na kutengeneza ajira ni swala la sera na sheria...Jukumu la kwanza la Bunge ni kutunga sera na serikali ni mtekelezaji kwahiyo si kazi ya serikali kutengeneza mazingira, mazingira yanatengenezwa na watunga sera kisha utekelezaji unafanywa na serikali kisha ajira za weza kuwa ama za private, public au hybrids
 
Wajibu wa serikali ni kujenga mazingira wezeshi for jobs creation and wealthy creation ili private sector ndio izalishe mali na ajira.
P
Kwa hiyo wagombea wa ccm wanapo semaga watatoa ajira kwa vijana hua wana jitekenya na kucheka na wenyewe kwa sababu kwenye chaguzi zote hio hua ni ajenda yao mara zote, wewe ni mwana ccm na unajua Irani yenu vizuri tuu
 
Hapa tutatufautiana sana mkuu, sio wajibu wa serikali kuajiri na ukiangalia serikali za wenzetu idadi ya waajiriwa wa serikalini ni wachache kulinganisha na sectors binafsi, angalia waajiriwa wa Amazon, Anglo-American hizi ni private sector ambazo zimewezeshwa na serikali ili zitoe ajira
Mazingira yaliyoandaliwa na serikali yanakidhi kwa kiasi gani? Nani ni yapi hayo?
 
Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani.

Ajira si jambo la kufanyia mzaha.

Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo vikuu vya kuifurusha serikali hiyo kutoka madarakani kupitia sanduku la kura.

Kukua kwa ukosefu wa kazi kunatosha kuipumzisha serikali moja ili ikaje na mipango inayoeleweka kama ingependa tena kuja kushika hatamu za uongozi.

View attachment 2481663

Serikali inayokuja na mkakati wa wazi wa kujivua jukumu hili inalijua kweli inalolisema?

Serikali ya namna hii inatoa matumaini yapi kwa vijana mashuleni na vyuoni au wahitimu walioko mitaani bila ajira?

Ikumbukwe kama ilivyo kwa ajira kila vinavyoelea vimeundwa.

Kwani kama Hashim Rungwe au awaye yote ana suluhisho bora zaidi la tatizo hili, kulikoni kutompa yeye dhamana?

2025 haiko mbali kwamba mlioshiba hamtujui wenye njaa?

Tukutane kwenye sanduku la kura 2024/25.
Mkuu kuahidi watu kwenye kampeni kwamba utatengeneza ajira wapi ahadi hiyo imetekelezwa? Kwa nini mnapenda maneno ya kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli?
 
Kwa hiyo wagombea wa ccm wanapo semaga watatoa ajira kwa vijana hua wana jitekenya na kucheka na wenyewe kwa sababu kwenye chaguzi zote hio hua ni ajenda yao mara zote, wewe ni mwana ccm na unajua Irani yenu vizuri tuu
Shangaa mwenyewe...
 
Acheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Uko sawa lakini ki uhalisia siyo kweli- serikali haijawahi kuwa mwajiri mkuu popote duniani
 
Uko sawa lakini ki uhalisia siyo kweli- serikali hajawahi kuwa mwajiri mkuu popote duniani
Nisome vizuri kisha rudi kuandika tena...Hakuna sehemu ambapo tunasema serikali iwe mwajiri, tunasema serikali itengeneze ajira na isiseme tu inatengeneza mazingira...Job creation labda kiingereza kitakuwa specific kuliko kiswahili

Kwanza tatizo kubwa ni hao wnaaosema serikali haiwezi ni wale ambao wameajiriwa na hiyo hiyo serikali...Kisha wanadhani ajira ninlazima iwe serikalini.....Kwanza serikali haitakiwi kuwa na waajiriwa wengi maana ndiyo viwavi hawa ambao wanatapika tu maneno ya ovyo na kushauri vitu visivyoeleweka kwa raia...Serikali ni mratibu mkuu na msimamizi wa shughuliz ote za raia na hizo shughuli ndizo zinapaswa kuwa ajira maana zinatakiwa kuwaletea ujira waweze kulipa kodi na kulipia gharama za ustawi wa jamii kama afya, elimu na hiyo coordination
 
Acha ubabaishaji!
Tanzania tuna majitu majinga ajabu!. Unayaelimisha kuwa job creation ni jukumu private sector kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa private sector to flourish, inakutukana ni mbabaishaji!.

Mfano ile 2015, JPM anaingia, ameikuta kampuni ya PPR ina tender 5 za taasisi za umma, imeajiri watu 20, inaliipa kodi mishahara ya ma DC 5, ma RC 3 na wakurugenzi 2!. Pango la ofisi ulikuwa ni jengo zima la NHC mjini kati kwa kodi ya pango mshahara wa DC!. Jamaa alipoingia Tender zote zilisitishwa, nikapunguza wafanyakazi 15 wakabaki 5, na ofisi nikahamia kwenye kajichumba Posta house!.

Kinachotakiwa ni mimi kurudishiwa zile tender, niajri watu 100, nilipe mishahara ma RC wote 26!.
P
 
Nisome vizuri kisha rudi kuandika tena...Hakuna sehemu ambapo tunasema serikali iwe mwajiri, tunasema serikali itengeneze ajira na isiseme tu inatengeneza mazingira...Job creation labd aliinhereza kitakuwa specific kuliko kiswahili
Hilo nalo ni utopia- inamtengenezea nani? wakikataa kuajiri hao waliotengezewa inakuwa je? Jamani kwa nini tunapata tabu kuishi kwa uhalisia
 
Mazingira yaliyoandaliwa na serikali yanakidhi kwa kiasi gani? Nani ni yapi hayo?
Ngoja nikupe mfano wa jinsi gani serikali inaweza kuandaa mazingira ya kuzalisha ajira na kuinua wazawa wake;within 30days ndani ya Botswana 🇧🇼 unaweza kupata permits zote za kufungua biashara ikiwa ni pamoja na ya ukaazi, sasa wewe nenda pale board ya maziwa omba kuingiza nchini maziwa uone kimbembe chake, wakati Tanzania bado hatutoshelezi soko la ndani la baby formula, na kuingiza kwako hizi kutatoa ajira nyingi kwa wazawa, nenda pale tbs ni kukatishwa tamaa kwa zote, serikali ya Botswana imemwezesha raia wake kufungua kampuni ya super market na sasa anashindana na well established kama shopprite kwenye soko la Africa, nashauri serikali yangu iondoe utitiri mwingi wa permits na weka hizi zote under one umbrella ☔, na within 7days wakupe majibu kama umepata permits au la
 
Back
Top Bottom