Tanzania tuna majitu majinga ajabu!. Unayaelimisha kuwa job creation ni jukumu private sector kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa private sector to flourish, inakutukana ni mbabaishaji!.
Mfano ile 2015, JPM anaingia, ameikuta kampuni ya PPR ina tender 5 za taasisi za umma, imeajiri watu 20, inaliipa kodi mishahara ya ma DC 5, ma RC 3 na wakurugenzi 2!. Pango la ofisi ulikuwa ni jengo zima la NHC mjini kati kwa kodi ya pango mshahara wa DC!. Jamaa alipoingia Tender zote zilisitishwa, nikapunguza wafanyakazi 15 wakabaki 5, na ofisi nikahamia kwenye kajichumba Posta house!.
Kinachotakiwa ni mimi kurudishiwa zile tender, niajri watu 100, nilipe mishahara ma RC wote 26!.
P