Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Nimeona aibu kwa aniaba yale, daah, senior person kama huyu kusema mambo ya aibu kama haya, inatisha!Bwana Pascal Mayalla jukumu hili serikali ya CCM kumbe ililiacha lini?
Kwa jinsi hii kuna watu wame bumbiwa CVs na wengi hawana content, unfortunately ndiyo ambao wanawekwa kwenye strategic positions wakidhaniwa kuwa ni wenye experience na expertize, kumbe wasanii wakubwa...Akifungua kinywa kutoa mada ndiyo unagundua emptiness walizonazo, kisha ukitajiwa nafasi yake unabaki kushika mdomo, yet watu wenye content wamenyimwa nafasi kwa tabia hizi mbaya...Kwanza kabisa ajira serikalini zingekua niza mikataba miaka mitano pia ingepigwa marufuku mtu kuwa na ajira zaidi ya mbili hivi inakuaje mtu mmoja awe mbunge awe waziri awe mkurugenzi wa bodi flani awe mlezi wa umoja wa walemavu yaani kote huko anapokea posho, marupurupu na mishahara.
Serikali inatakiwa isifanye biashara bali iwe ni msimamizi tuu, biashara ni jukumu la sekta binafsi, ila serikali inaweza kuendelea kuhodhi strategic sector za huduma muhimu kama utilities, communications, public information, na public transportation.Serikali haiwezi kujivua wajibu wa kuzalisha ajira directly (kupitia uwekezaji wa moja Kwa moja) au indirectly (kupitia private sector)
Not necessarilyMnufaika wa kwanza kutokana na job creation ni serikali yenyewe kwamba anacho cha kuonyesha kama mafanikio yake kiuongozi. Ili kama vipi tumpe tena dhamana.
Ndio jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi to flourish na kufanya jobs creation.Nchi zina raslimali ambazo kupitia hizo zinaweza kufanya uwekezaji. Kwani madege, viwanda, migodi, ma reli nk ni vya nini?
Its not true ndio maana TAESA wapo .Hawana haja ya kujua ajira ngapi zimezalishwa, ngapi zimekufa na wala kwa nini.
Siyo maajabu ya Mussa hayo?
Acha ubabaishaji!Serikali inatakiwa isifanye biashara bali iwe ni msimamizi tuu, biashara ni jukumu la sekta binafsi, ila serikali inaweza kuendelea kuhodhi strategic sector za huduma muhimu kama utilities, communications, public information, na public transportation.
Not necessarily
Ndio jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi to flourish na kufanya jobs creation.
Its not true ndio maana TAESA wapo .
P
Watanzania tuko milioni 60, work force ya ajira za serikali na mashirika yote ya umna ni less than 1.M. tunatakiwa kutengeneza a very vibrant private sector hadi mama mtilie, machinga hadi ile ajira kuu duniani , the oldest professional, walipe kodi, serikali abaki kuwa msimamizi tuu.Acheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Kwahiyo private sector inasimamaje pasipo sera za nchi? Nani ni mtekelezaji wa sera za nchi? Do you see how you cheat the people who trust you? Si lazima kila jambo uchangie mengine kama huna deeper understanding kuliko kupotosha unapiga kimya....Watanzania tuko milioni 60, work force ya ajira za serikali na mashirika yote ya umna ni less than 1.M. tunatakiwa kutengeneza a very vibrant private sector hadi mama mtilie, machinga hadi ile ajira kuu duniani , the oldest professional, walipe kodi, serikali abaki kuwa msimamizi tuu.
P
Hapa tutatufautiana sana mkuu, sio wajibu wa serikali kuajiri na ukiangalia serikali za wenzetu idadi ya waajiriwa wa serikalini ni wachache kulinganisha na sectors binafsi, angalia waajiriwa wa Amazon, Anglo-American hizi ni private sector ambazo zimewezeshwa na serikali ili zitoe ajiraAcheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Ni ustaarabu kukubali kuwa hujui kisha uliza how kuliko ku extrapolate limitation ya understanding yako kwa population nzima ya watanzania...Na hii ndiyo tatizo la wale wote wanaopewa nafasi katika jamii...Kwakua ubongo wake umeshindwa kujua namna na jinsi anadhani haiwezekani...Ku create ajira ni kazi number moja ya serikali yeyote duniani ndiyo sababu hata ukisoma report ya intelligence ya mwezi uliopita America VP wap anaonuesha jinsi serikali yake ilivyoongeza ajira...Hapa tutatufautiana sana mkuu, sio wajibu wa serikali kuajiri na ukiangalia serikali za wenzetu idadi ya waajiriwa wa serikalini ni wachache kulinganisha na sectors binafsi, angalia waajiriwa wa Amazon, Anglo-American hizi ni private sector ambazo zimewezeshwa na serikali ili zitoe ajira
Kwa hiyo wagombea wa ccm wanapo semaga watatoa ajira kwa vijana hua wana jitekenya na kucheka na wenyewe kwa sababu kwenye chaguzi zote hio hua ni ajenda yao mara zote, wewe ni mwana ccm na unajua Irani yenu vizuri tuuWajibu wa serikali ni kujenga mazingira wezeshi for jobs creation and wealthy creation ili private sector ndio izalishe mali na ajira.
P
Mazingira yaliyoandaliwa na serikali yanakidhi kwa kiasi gani? Nani ni yapi hayo?Hapa tutatufautiana sana mkuu, sio wajibu wa serikali kuajiri na ukiangalia serikali za wenzetu idadi ya waajiriwa wa serikalini ni wachache kulinganisha na sectors binafsi, angalia waajiriwa wa Amazon, Anglo-American hizi ni private sector ambazo zimewezeshwa na serikali ili zitoe ajira
Mkuu kuahidi watu kwenye kampeni kwamba utatengeneza ajira wapi ahadi hiyo imetekelezwa? Kwa nini mnapenda maneno ya kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli?Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani.
Ajira si jambo la kufanyia mzaha.
Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo vikuu vya kuifurusha serikali hiyo kutoka madarakani kupitia sanduku la kura.
Kukua kwa ukosefu wa kazi kunatosha kuipumzisha serikali moja ili ikaje na mipango inayoeleweka kama ingependa tena kuja kushika hatamu za uongozi.
View attachment 2481663
Serikali inayokuja na mkakati wa wazi wa kujivua jukumu hili inalijua kweli inalolisema?
Serikali ya namna hii inatoa matumaini yapi kwa vijana mashuleni na vyuoni au wahitimu walioko mitaani bila ajira?
Ikumbukwe kama ilivyo kwa ajira kila vinavyoelea vimeundwa.
Kwani kama Hashim Rungwe au awaye yote ana suluhisho bora zaidi la tatizo hili, kulikoni kutompa yeye dhamana?
2025 haiko mbali kwamba mlioshiba hamtujui wenye njaa?
Tukutane kwenye sanduku la kura 2024/25.
Shangaa mwenyewe...Kwa hiyo wagombea wa ccm wanapo semaga watatoa ajira kwa vijana hua wana jitekenya na kucheka na wenyewe kwa sababu kwenye chaguzi zote hio hua ni ajenda yao mara zote, wewe ni mwana ccm na unajua Irani yenu vizuri tuu
Uko sawa lakini ki uhalisia siyo kweli- serikali haijawahi kuwa mwajiri mkuu popote dunianiAcheni kudanganya viongozi...Wajibu wa kwanza wa serikali ni kutengeneza ajira...Duniani kote...Kama hamwezi kutoa ushauri wa jinsi ya kutengeneza ajira msimpotoshe rais...Kama serikali haiwezi kutengeneza ajira inawezaje dai kodi, ili iweje? Wanalipwa mshahara na pesa za umma kwa ajili ya kazi gani?
Nisome vizuri kisha rudi kuandika tena...Hakuna sehemu ambapo tunasema serikali iwe mwajiri, tunasema serikali itengeneze ajira na isiseme tu inatengeneza mazingira...Job creation labda kiingereza kitakuwa specific kuliko kiswahiliUko sawa lakini ki uhalisia siyo kweli- serikali hajawahi kuwa mwajiri mkuu popote duniani
Tanzania tuna majitu majinga ajabu!. Unayaelimisha kuwa job creation ni jukumu private sector kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa private sector to flourish, inakutukana ni mbabaishaji!.Acha ubabaishaji!
Hilo nalo ni utopia- inamtengenezea nani? wakikataa kuajiri hao waliotengezewa inakuwa je? Jamani kwa nini tunapata tabu kuishi kwa uhalisiaNisome vizuri kisha rudi kuandika tena...Hakuna sehemu ambapo tunasema serikali iwe mwajiri, tunasema serikali itengeneze ajira na isiseme tu inatengeneza mazingira...Job creation labd aliinhereza kitakuwa specific kuliko kiswahili
Ngoja nikupe mfano wa jinsi gani serikali inaweza kuandaa mazingira ya kuzalisha ajira na kuinua wazawa wake;within 30days ndani ya Botswana 🇧🇼 unaweza kupata permits zote za kufungua biashara ikiwa ni pamoja na ya ukaazi, sasa wewe nenda pale board ya maziwa omba kuingiza nchini maziwa uone kimbembe chake, wakati Tanzania bado hatutoshelezi soko la ndani la baby formula, na kuingiza kwako hizi kutatoa ajira nyingi kwa wazawa, nenda pale tbs ni kukatishwa tamaa kwa zote, serikali ya Botswana imemwezesha raia wake kufungua kampuni ya super market na sasa anashindana na well established kama shopprite kwenye soko la Africa, nashauri serikali yangu iondoe utitiri mwingi wa permits na weka hizi zote under one umbrella ☔, na within 7days wakupe majibu kama umepata permits au laMazingira yaliyoandaliwa na serikali yanakidhi kwa kiasi gani? Nani ni yapi hayo?