Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

Hilo nalo ni utopia- inamtengenezea nani? wakikataa kuajiri hao waliotengezewa inakuwa je? Jamani kwa nini tunapata tabu kuishi kwa uhalisia
Sasa unataka nikwambiaje, zaidi ya kukuacha...Ila tu kama upo public office na una stake nakushauri uachie maana wewe ndiyo mkwamo wenyewe wa welfare ya watanzania...Unakula usichopanda...Utakuwa mzigo badala ya kuwa msaada kwa mawazo kama yako haya...
 
Sasa na elewa kwanini tupo hapa tulipo kama taifa...Naomba niishie hapa, nakuombea uwe hai tutakapofanikiwa kuwa critical mass wenye training na mawazo kama yangu nitaifukua hii post nakukushuhudia jinsi ulivyo changia wewe na wenye mawazo kama yako kupotosha uelekeo wa maendeleo ya taifa letu...Kwa sasa Yesu alisema ya nini kutupa lulu kwa nguruwe? Si watazikanyaga tu?
 
Inaumiza kuona watu ambao hawana uelewa wala namna waking'ang'ania mawazo yao ndiyo yawe reference hata baada ya kuyajaribu for more than 7 decades bila kuleta matokeo chanya...
 
Na hili ndio tatizo la middle class wetu, uwezo wao wa kufikiri ni wa ajabu mno na wengi wameshazoeshwa ile spoon feeding, why shopprite ilifunga biashara yake hapa nchini?its simple mazingira yasiyo rafiki, Zambia 🇿🇲 shopprite zinaongezeka na hata pick n pay nayo ipo (mazingira rafiki na ajira nyingi kwa wazawa na hasa zile indirectly one kama wazalishaji wanaopeleka products zao kwenye supermarket hizi),game imefungwa watanzania wenzetu wamerudi uswahilini na serikali ipo kimya,maana haikujisumbua kutafuta mwekezaji mwingine ili ajira zile ziokolewe
 
Paskali tunakizazi cha hovyo sana
Papa Francis aliwaza hivyo pia akaambiwa na mkulima mmoja huko Italia hivi:-
Gabriele Maglieri, a 28-year-old who is a farmer, like his father and grandfather before him, told the pope about the importance of family farms in producing traditional Italian wines, olive oil, salami and cheese while protecting the soil, water resources and biodiversity.
 
Itoshe tu kusema kazi kama ilivyo wealth na capital are created through policies...Wabunge wakisema kuanzia leo hakuna mtu wa kujilimia shamba yeye bila kufuata utaratibu na huo utaratibu ukaratibu kazi ya kilimo kwa mfano, ile informal sector yote ya kilimo inageuka kuwa ajira rasmi na yenye kulipwa salary...Mratibu awe nani ni swala la sera pia, ukisema serikali ita ratibu 10% na 80% private entities tayari hiyo ni PPP na ikisema serikali itaratibi 100% hiyo ni serikali ameamua kuwa mwajiri ama ikisema itaratibiwa na private sector 100% in this format, inakuwa ajira ya private sector 100 percent kama ilivyo sasa ila tu haipo coordinated at organization level bali household level...Hizi ni taaluma na watu wasijisemee tu mambo ambayo hawayajui wala hawana uelewa nayo
 
Inaumiza kuona watu ambao hawana uelewa wala namna waking'ang'ania mawazo yao ndiyo yawe reference hata baada ya kuyajaribu for more than 7 decades bila kuleta matokeo chanya...
Nauunga mkono hoja ; na ndiyo maana Mama Samia anatutoa huko kuwa si kazi ya serikali kutengeneza ajira ila kazi ya zerikali ni kuweka mazingira ya kutengeneza ajira- WATU HAWATAKI KUELEWA.
 
Mkuu ingawa mshahara ni mtamu kuliko dhambi zote uzijuazo- sijawahi kuajiriwa serikalini. Naamini kila mtu anaweza kujiajiri mwenyewe. In the first place kilio tu cha ajira ni manifestation ya individual failure
 
Nchi za wenzetu hata kwenda kutandika kitanda cha guest ni ajira na ipo registered na ina ujira formal kabisa na kodi yake inajulikana kwkaua kila kitu kiko coordinated na serikali zao ndiyo sababu wana un employment salary kwakua hakuna kazi ama effort ambayo haipo coordinated...Tunaposema wao hawana ajira ni kwamba kazi zao zote zimepata wakuzifanya unlike sisi ambao 80% ya ajira zetu hazipo coordinated kisha tunasema eti ndiyo un employment
 
Mkuu ingawa mshahara ni mtamu kuliko dhambi zote uzijuazo- sijawahi kuajiriwa serikalini. Naamini kila mtu anaweza kujiajiri mwenyewe. In the first place kilio tu cha ajira ni manifestation ya individual failure
Basi usikariri kwamba ajira serikalini ndiyo ajira tu...Una mis conceptions nyingi katika hizi concepts na kwakua zimekuwa mis interpreted for so long ime zama kichwani kama ukweli kumbe ni distortion ya ajabu, na kwasababu hii tunasababisha efforts nyingi kutokuwa realized kwa maendeleo ya taifa...Hakuna kitu kibaya kama juhudi isiyokuwa na maarifa ndani yake....Ni kama kusukuma mkokoteni huku kazi hiyo ingeweza kufanywa kirahisi na mnyama kazi na ikaleta tija kuliko binadamu...But ili mnyama afanye hiyo kazi lazima binadamu atumie akili yake kum train...You see the difference?
 
Basi usikariri kwamba ajira serikalini ndiyo ajira tu...
Na hakuna kokote nimesema wala kujaribu kpendekeza hivyo- miye mtu yeyote anafanyakazi serikalini ninamuona ni muoga wa maisha na anayetaka kuchuma bila kufanya kazi. Na tunaona uhalisia- watu wameajiriwa kama walimu wanalipwa na hawafanyi kazi ya kufundisha watoto kiasi mtoto anamaliza la 7 au kidato cha 4 hajui kusoma and those make 50% ya workforce ya serikali
 
Nauunga mkono hoja ; na ndiyo maana Mama Samia anatutoa huko kuwa si kazi ya serikali kutengeneza ajira ila kazi ya zerikali ni kuweka mazingira ya kutengeneza ajira- WATU HAWATAKI KUELEWA.
Ni kazi ya serikali kutengeneza ajira si lazima mwajiri awe serikali...Kwanza tuelewane hapo...Maana wengi hawaelewi hata wanachokiongea na ndicho kilichosababisha ajira kutotengenezeka
 
Kwa heshima zote mkuu,Hapo ukirudishiwa hizo tender zote, na ukaajili kama unavyosema,serikali itakuwa imewezesha ajila au imetengeneza ajila?

Kuwezesha ajila ni kufanya nini? Na kutengeneza ajila ni kufanya nini?
 
Umenisaidia sana kwa maswali yako ya haja!
 
Umenisaidia sana kwa maswali yako ya haja!
Hata miaka yote tunasikia kampeni za kuwania uongozi za Nchi mbalimbali Duniani,neno maarufu kwenye ilani zao huwa ni "Tutatengeneza ajila kadhaa"..

Hii huwa wanaitoa bila kujali ajila hizo watatoa wao au sector binafsi
 
Reactions: Ame
Ni kazi ya serikali kutengeneza ajira si lazima mwajiri awe serikali...Kwanza tuelewane hapo...Maana wengi hawaelewi hata wanachokiongea na ndicho kilichosababisha ajira kutotengenezeka
Mkuu siyo kazi ya serikali kutengeneza ajira;kazi ya serikali ni kuweka mazingira ya kutengeneza ajira; dhana ya serikali kuwa inapaswa kutengeneza ajira ni mawazo ya kianaharakati na mbinu za wavivu kuibaka serikali ili itekeleze matakwa hayo. Na ndiyo maana serikali nazo zinatoa majibu ya rejareja ambayo hayatekelezeki.
 
Aise! Acha nichutame nisikimbIe hadharani uchi
 
PhD nyingiiii, na wanasema tujiajiri ila wao wameajiriwa na serikali.
 
Kwa heshima zote mkuu,Hapo ukirudishiwa hizo tender zote, na ukaajili kama unavyosema,serikali itakuwa imewezesha ajila au imetengeneza ajila?

Kuwezesha ajila ni kufanya nini? Na kutengeneza ajila ni kufanya nini?
Kuwezesha ajira ni serikali kufanya uwezeshaji, kwa kuweka mazingira wezeshi ili sekta binafsi iweze kutengeneza kwa kuzalisha ajira
P
 
Kujiajiri ni kuvuruga common understanding katika kuleta maendeleo ya pamoja...Ndicho kilichotokea kwenye kilimo kwakua kila mtu ana preferences zake...Ni kuongeza unnecessary competitions kama inavyotokea kwa machinga na masoko ya ndani....ni kushindwa kudevelop clusters ambazo zingesaidia katika processes, ni kutumia resources inefficiently na kupoteza nguvu kazi kwakua hizo efforts na resources hazipo managed wala programmed for specified objectives ambazo tayari zipo forecasted....Ni ujima na kukosa coordination!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…