Ukishaona una round words ujue kuna gap sehemu....Andika makala kuelezea baada ya kutafuta wataalamu jinsi ambavyo Mh. Rais amepotoshwa, hii itakuwa toba tosha na kwa niaba ya wapotoshaji wote wa tangu 1990s tulivyoingizqa chaka na ma bepari ya America THROUGH Structural Ajustiment Programm, kumbe wenzetu walijua mtu akishakuwa na ujira si rahisi kumyumbisha na kukubali matakwa yako...Kisha akisha kuwa ahazalishi vya kwake anageuka kuwa soko lako kwa bidhaa zakoKuwezesha ajira ni serikali kuweka mazingira wezeshi ili sekta binafsi iweze kuzalisha ajira
P
Kwakua miongoni mwao wanaamini si kazi yao (serikali na watendaji wake) kutengeneza ajira mpya na kulinda ajira zilizopo zisipoteeNa hili ndio tatizo la middle class wetu, uwezo wao wa kufikiri ni wa ajabu mno na wengi wameshazoeshwa ile spoon feeding, why shopprite ilifunga biashara yake hapa nchini?its simple mazingira yasiyo rafiki, Zambia 🇿🇲 shopprite zinaongezeka na hata pick n pay nayo ipo (mazingira rafiki na ajira nyingi kwa wazawa na hasa zile indirectly one kama wazalishaji wanaopeleka products zao kwenye supermarket hizi),game imefungwa watanzania wenzetu wamerudi uswahilini na serikali ipo kimya,maana haikujisumbua kutafuta mwekezaji mwingine ili ajira zile ziokolewe
Hawakuwahi hata kuanzisha kibanda cha kuuza sokoni, wameletwa tu hapo na by virtual of their positions wakajikuta wapo kwenye hivyo viti vya utendaji na maamuzi, from school to ajira ya public sector....Kisha hao hao ndiyo vinara wakusema watu wajiajiri bila kujali implications zake kwenye welfare na maendeleo ya watanzaniaShida wananchi awashirikishwi kwenye level za maamuzi si kwamba watz milioni 60 wamekosa prototype au mawazo au models jinsi ya kumaliza matatizo yetu. Shida walio kwenye level za maamuzi sio wahanga wa matatizo.
Tatizo la ajira ni dogo Sana na linatatulika.
Kama wakoloni walimudu wao wameshindwa nini?
Pesa zipo, raslimali zipo , masoko yapo, nguvu Kazi imejaa, wao wanashindwa nini.
Asante kwa jibu zuri...nimepata mengine kutokana na jibu lako,Kuwezesha ajira ni serikali kuweka mazingira wezeshi ili sekta binafsi iweze kuzalisha ajira
P
Hapa umetumia vizuri nafasi uliyopata kujipigia debe na kampuni yako urudishiwe ulaji, which is not bad at all...Tanzania tuna majitu majinga ajabu!. Unayaelimisha kuwa job creation ni jukumu private sector kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa private sector to flourish, inakutukana ni mbabaishaji!.
Mfano ile 2015, JPM anaingia, ameikuta kampuni ya PPR ina tender 5 za taasisi za umma, imeajiri watu 20, inaliipa kodi mishahara ya ma DC 5, ma RC 3 na wakurugenzi 2!. Pango la ofisi ulikuwa ni jengo zima la NHC mjini kati kwa kodi ya pango mshahara wa DC!. Jamaa alipoingia Tender zote zilisitishwa, nikapunguza wafanyakazi 15 wakabaki 5, na ofisi nikahamia kwenye kajichumba Posta house!.
Kinachotakiwa ni mimi kurudishiwa zile tender, niajri watu 100, nilipe mishahara ma RC wote 26!.
P
Umeuliza maswali mazuri, tusubiri majibu.Asante kwa jibu zuri...nimepata mengine kutokana na jibu lako,
1:-Je,Maneno wanayotumia kwenye ilani zao za uchaguzi kuwa watatengeneza ajila,siyo maneno sahihi?
2:-Wewe wa sector binafsi ulie ajili watu,tukuite Mwajili au mtengeneza ajila au vyote kwa pamoja?
3:-Rais anapovunja Bunge,mara nyingi huwa wanatoa takwimu za ajila walizotengeneza,za serikalini na binafsi, je waanze kutumia neno ajila walizowezesha?
NB 1...Nakupongeza kwa ajila ulizotengeneza/ ulizowezesha kwa kipindi hicho na hata sasa bila shaka
NB 2...Inawezekana neno kuwezesha na kutengeneza yakawa na maana moja kwa muktadha huu tunao jadili, hadi hapo tutakapojua vitendo afanyavyo mwezeshaji wa ajila na mtengeneza ajila
Asante sana
Utafakari na uchukue hatua usiishie kuchutama tu hahahahAise! Acha nichutame nisikimbIe hadharani uchi
Serikali inatakiwa isifanye biashara bali iwe ni msimamizi tuu, biashara ni jukumu la sekta binafsi, ila serikali inaweza kuendelea kuhodhi strategic sector za huduma muhimu kama utilities, communications, public information, na public transportation.
Not necessarily
Ndio jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi to flourish na kufanya jobs creation.
Its not true ndio maana TAESA wapo .
P
Kumbuka wenyewe wamesema hawahusiki kwenye kuzalisha ajira. Hii ni kote sekta binafsi na serikalini.Tanzania tuna majitu majinga ajabu!. Unayaelimisha kuwa job creation ni jukumu private sector kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa private sector to flourish, inakutukana ni mbabaishaji!.
Mfano ile 2015, JPM anaingia, ameikuta kampuni ya PPR ina tender 5 za taasisi za umma, imeajiri watu 20, inaliipa kodi mishahara ya ma DC 5, ma RC 3 na wakurugenzi 2!. Pango la ofisi ulikuwa ni jengo zima la NHC mjini kati kwa kodi ya pango mshahara wa DC!. Jamaa alipoingia Tender zote zilisitishwa, nikapunguza wafanyakazi 15 wakabaki 5, na ofisi nikahamia kwenye kajichumba Posta house!.
Kinachotakiwa ni mimi kurudishiwa zile tender, niajri watu 100, nilipe mishahara ma RC wote 26!.
P
Ipo haja ya watunga sera serikali iwe na platform ya watz kutoa solution ya matatizo mbalimbali watu huku chini Wana idea nyingi tu zinazoweza leta positive changes.
Nazidi ku confirm assertion yangu, tuna watu ambao hawaelewi wanatakiwa kuwafanyia nini watanzania na bado hawajui kama hawajui...Hakuna kitu kibaya ukawa ignorant kisha ukawa confident katika ignorance yako...God have mercy on my beloved country maana wanajuhudi zisizo na maarifa ndani yake, kisha kwakua watu wengi wana ego na kwakua wameshaizoea statusquo wanaishi ignorance huku wakionyesha arrogance ya hali ya juu...Kwani kuna hata haja ya kumung'unya maneno?
"Ni wajibu wa serikali kuweka mazingira ya kuwepo ajira kwa wananchi wake iwe directly (kwenye investment zake) au indirectly kupitia private sector."
Haya ni kwa kupitia sera, Sheria, mikakati, nk. Kumbuka hawa waliopo wazi wazi wamesema hawahusiki na kutengeneza ajira. Tulipo sasa suala ni hili:
Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?
Ingependeza kuwa na majibu ya wazi kuliko haya ya kisiasa yenye mlengo wa kimaslahi binafsi zaidi.
Mwl Nyerere alituwekea structure nzuri kabisa ya kila raia wa Tanzania kushiriki katika kutunga sera kuanzia ngazi ya ten cells enzi za chama kushika hatamu, ambayo imekuwa adopted na TAMISEMI japo sielewi huwa inatumiwaje effectively maana tunaongozwa na utashi wa watu binafsi zaidi, kuliko hizi taasisi ambazo zipo kikatiba kabisa....Ipo haja ya watunga sera serikali iwe na platform ya watz kutoa solution ya matatizo mbalimbali watu huku chini Wana idea nyingi tu zinazoweza leta positive changes.