Tunapunguza matumizi yasiyo muhimu mkuu, kuchapisha noti mpya ni gharama kubwa,na nchi yangu haina fedha hizo na hii sahihi haiathiri chochote kwenye uthamani wa fedha ,mkuu tufanye kazi in a smart way ili familia zetu ziwe bora na hii itapelekea taifa bora
Aisee.Kwani hizi hizi zilizopo hawawezi badili saini?au jina la waziri husika sio nzuri kuchapa
Watz bana,mambo ya msingi ya kusemea yapo kibao huyu analeta jambo lisilo na madhara yeyote
Kwani mtoto ana shida gani na waziri wa fedha? Wala haelewi umuhimu wa hiyo saini.Sasa iliopo pale ukimwonyesha mtoto si anaona waziri ni mpango?
Huyo first president wala hana shida na hizo saini, yake ya duniani yamemwishia mwacheni apumzike huko aliko.Halafu mimi napendekeza huu mfumo wa pesa kusainiwa na waziri wa fedha tuache nao. Badala yake tuweke saini ya baba wa taifa (The first president of Tanganyika)
kwani pesa ni bio?Kwa hiyo wewe unakubali waziri wa fedha ni mpango?mbona waziri fulani alibadiloshwa au kutumbuliwa mnakuwa fasta kisema hapa abadilishe bio?
Yani hilo Jambo madelu analiota kutwa kucha... Yaani nakwambia siku hiyo noti zetu zikisoma jina na saini yake nadhani atafanya sherehe kubwa sana.[emoji23]Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti?
Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza kujua hela /noti akasoma yale maelezo pale kwa haraka haraka wanaona Waziri bado ni Mpango wakati Waziri kwa sasa mtu mwingine. Je, hili limekaaje?
Huyu mtoto anahitaji mambo muhimu zaidi kimaisha kuliko signature ya finance minister kwenye noti, watoto wetu wanahitaji elimu bora,afya bora na malezi yenye upendo kutoka kwa jamii yote.Sasa iliopo pale ukimwonyesha mtoto si anaona waziri ni mpango?
Yani hilo Jambo madelu analiota kutwa kucha... Yaani nakwambia siku hiyo noti zetu zikisoma jina na saini yake nadhani atafanya sherehe kubwa sana.[emoji23]