Serikali itabadilisha lini saini ya Waziri wa Fedha kwenye noti?


Kuna note nyingi tu zina signature ya mwigulu
 
Halafu mimi napendekeza huu mfumo wa pesa kusainiwa na waziri wa fedha tuache nao. Badala yake tuweke saini ya baba wa taifa (The first president of Tanganyika)
Wapi wanafanya huo ujinga?
 
Tafuta cha maana cha kuhoji unatujazia server tu

Endelea kula mizoga manjese.
Hivi mwanao akakuuliza waziri wa fedha ni nani na ukmjibu aliyepo kwa sasa alafu akachukua noti akakuambia na huyu ni nani utahibuje,au akapewa mtihani shule akajibu ni mpango akija nyumbani mtihani ukaona kapewa kosa utamlaumu nani
 
Halafu mimi napendekeza huu mfumo wa pesa kusainiwa na waziri wa fedha tuache nao. Badala yake tuweke saini ya baba wa taifa (The first president of Tanganyika)
Sijui hata umewaza nini na huyo babaako wa taifa.. Nadhani saini ibaki moja tuu ya gavana wa benki
 
Ni Manzese sio manjese kabla ya kumuelimisha mwanao jielimishe wewe kwanza namna ya uandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…