KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo.

Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa sana ya matumizi ya Barabara hiyo.

Naomba mamlaka zitusadie kutatua hii changamoto hasa ya kuweka bandari kwenye Makazi ya Watu yasije kutokea kama yale yaliyotokea Yombo kwa mama Kibonge.



WhatsApp Image 2025-06-24 at 12.04.27_8407aaa5.jpg

WhatsApp Image 2025-06-24 at 12.04.26_4f1238c6.jpg

WhatsApp Image 2025-06-24 at 12.04.26_34aef96f.jpg
 
Back
Top Bottom