#COVID19 Serikali itangaze mikutano ya Waziri Mwigulu sio hatarishi na COVID-19

#COVID19 Serikali itangaze mikutano ya Waziri Mwigulu sio hatarishi na COVID-19

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210726_15383261501.jpg

Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima isipokuwa kwa mikutano ya Mwigulu.

Sasa kuondoa usumbufu na maswali serikali itangaze kwamba hii mikutano sio hatarishi kabisa na Corona. Halafu pia anatukusanya kutuambia kuache kukusanyika kujikinga na Corona.

Ni hayo tu
 
Corona kwenye ela haipo ila kwenye katiba mpya inaenea.

Yan huyu rais anazidi kujionesha udhaifu wake tu na ndio huo huo utakao tumika kumjaji uwezo wake wa kufikiri
 
Hujaona ya Mawaziri wengine? Au ya Mwigulu ndo yenye Korona tu?
 
Mwacheni mchumi mbobevu aka dakitari wa uchumi mzee wa kutuamisha Burundi. Tanzania ndio nchi inayotoa utaratibu au sheria lakini viongozi ndio wao wakwanza kukiuka na hawawajibishwi wala kuulizwa na yoyote #wanatukusanya kutuambia tusikusanyike
 
Ameanza kampeni za uraisi dikteta huyu
 
Huyu jamaa ni mtu hatari sana wasipokuwa makini naye atawasumbua mno mbeleni huko

Nakubaliana na ww!! Kamwingiza mama chaka kisha yy ameanza kampeni tayri ya 2025. Kwa kujifanya anataka kupunguza ghalama za mihamala ya simu.
 
Mi naomba liachwe tu hili joka ili litamfune Mama Samia mwenyewe manake kajitakia!

Hivi mtu mwenye excessive ambition kama Mwigulu unampaje nafasi nyeti kama hii?! Nami nasema kwamba, it's a matter of time kabla SSH hajajua kwamba hajui ikiwa bado basi hajaona huo mwangaza!
 
Back
Top Bottom