OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Anaishi na kutenda kwenye nafasi aliyonayo kama Rais anayesubiri kuapishwa.Huyu jamaa ni mtu hatari sana wasipokuwa makini naye atawasumbua mno mbeleni huko
Ameanza kampeni za uraisi dikteta huyuMwacheni mchumi mbobevu aka dakitari wa uchumi mzee wa kutuamisha Burundi. Tanzania ndio nchi inayotoa utaratibu au sheria lakini viongozi ndio wao wakwanza kukiuka na hawawajibishwi wala kuulizwa na yoyote #wanatukusanya kutuambia tusikusanyike
Tatizo tz tunakosa proper na smart vetting process ili kupata viongozi bora, yaani akishachaguliwa na CCM tu amepita bila kujali mahitaji na mawazo ya wananchiAmeanza kampeni za uraisi dikteta huyu
Huyu jamaa ni mtu hatari sana wasipokuwa makini naye atawasumbua mno mbeleni huko
Presidential materialHuyu ni waziri wa kwanza wa fedha kufanya mikutano ya hadhara
Na ikitokea bahati mbaya akawa raisi wa nchi ataibamiza mno nchi yetuAnaishi na kutenda kwenye nafasi aliyonayo kama Rais anayesubiri kuapishwa.