Serikali itoe adhabu Kali, wanaume wanaoshika Maungo ya wanawake hadharani kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na Stendi

Sheria ipo wakashitaki tu.
 
Hamilton Iran au Afghanistan, huko ndio wanawake wanatakiwa wajifunike gubigubi.
Kuvaa stara sio lazima ujifunike gubigubi.
Ebu fikiria msambwanda ulionao afu unavaa nusu uchi then unaenda kariakoo unatarajia nini? Afu una mtoto mdogo unamfundisha nini?
 
Kuvaa stara sio lazima ujifunike gubigubi.
Ebu fikiria msambwanda ulionao afu unavaa nusu uchi then unaenda kariakoo unatarajia nini? Afu una mtoto mdogo unamfundisha nini?
Hamia Afghanistan au Iran, kulazimisha stara ni mambo ya huko.
 
Hamia Afghanistan au Iran, kulazimisha stara ni mambo ya huko.
Hata kushikwa makalio ni mambo ya Marekani! Kama hautaki kushikwa kalio hama nchi! Sema hawa jamaa wamekosea sana walitakiwa wayapake na mafuta yamelemete
 
Hata kushikwa makalio ni mambo ya Marekani! Kama hautaki kushikwa kalio hama nchi! Sema hawa jamaa wamekosea sana walitakiwa wayapake na mafuta yamelemete
Kajaribu kumshika mtu makalio Marekani hata kama anatembea uchi kabisa.
 
Naunga hoja mkono.
 
Dah vijana wa masokoni wanafaidi sana natamani nirudi ujanani nikafanye buashara karume
 
Huyu mwache aendelee kuvaa nusu uchi, nikikutana nae kariakoo na mavazi ya dizaini hiyo ya uchi nitamshika kalio na kulifinya kabisa!
Anaonekana ni wale wanaokua kibiashara zaidi,sasa hapa anaona kama vile anaharibiwa soko,utakuta amejaza vimini kibao kabatini.
 
Anaonekana ni wale wanaokua kibiashara zaidi,sasa hapa anaona kama vile anaharibiwa soko,utakuta amejaza vimini kibao kabatini.
Hampendi vimini? Hampendi diversity?
mnataka wote wawe hivi tu kama Afghanistan?
 
Hampendi vimini? Hampendi diversity?
mnataka wote wawe hivi tu kama Afghanistan?
View attachment 3392373
Nimeweka hoja stara sio lazima kuvaa majuba, nikab au hijab au kujifunika gubigubi....kuna nguo nzuri tu za stara ukivaa Bi. Yoda utapendeza na kubadili mwenekano wako! Wala haiitaji degree au kuhamia Afghanistan au Iran.
Nowdays; mtu anavaa kajinguo kakipochi kanajichoraa haya sio maadili. Nadikir kuna haja wizara kama imeweka zuio la kuvaa stara katika maeneo ya ofisi za umma kuna haja kuweka zuio pia kuvaa maeneo ya masoko makuu; nguo hizo vaa beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…