kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
- Thread starter
-
- #21
Aliye kuja ni dada aliye niandikisha ila hakujua ninapo ishi sasa walivyo gonga geti akatoka kijana wangu akaja kuniita ndani wakati natoka ndiyo namuona yule dada, alipo niona akanisalimia akawambia alio kuja nao huyu mzee alisha kuja na mke wake, maana alikunikumbuka wakati ananiandikisha nika weka utani kidogo naona alinikalili.ulifuatwa na watu wa vyama vya siasa au maafisa yandikishaji au matapeli?
ulivyokwenda kituoni kujiandikisha, wale maafisa ulowakuta, walikua ni wale waliokufuata nyumbani kwako au siyo?
Kazi yenyewe sasa..Ndio maana CCM wanafanya kazi ya ziada.
Zama za kuchezea kura za wanaume zimeisha. Hakuna mtu ataendelea kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuhalalisha chama cha majizi kukaa madarakani. Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee.ulifuatwa na watu wa vyama vya siasa au maafisa yandikishaji au matapeli?
ulivyokwenda kituoni kujiandikisha, wale maafisa ulowakuta, walikua ni wale waliokufuata nyumbani kwako au siyo?
Msiwe mnabisha tu kila kitu Ili muonekane ni CCM Bora....hali huku chini ni mbaya sana basi tu mmeamua kutotumia akili.kwahiyo umefuatwa na maafisa waandikishaji hadi nyumbani kwako kama kipindi kile cha sensa vile, right?
kwamba wewe ni muhimu sana au niaje kwa mfano tuanzie hapo, isije ikawa unapotosha gentleman?
Hakuna zoezi serious hapo, ccm kushinda kihalali imeshashindikana. Watu hawwgomeia kama wajinga boss.Wanaopita majumbani ni watu wa CCM. wapinzani wako bize mitandaoni, alafu wakila za uso waanze kusema wameibiwa kura. Hawako serious kabisa.
Acha upotoshaji, miaka yote hasa kuanzia 2010 chaguzi zetu zimekuwa zikitoa matokeo ya kuchezewa, ila 2019-20 ndio ushenzi ulifanywa kwa uwazi zaidi. Umesahau 2015 uchaguzi Znz ulifutwa kisa CUF walishinda? Ccm Wanafanya kazi ipi ya ziada wakati tumeshawachoka? Kwanini hamsomi alama za nyakati kuwa kizazi hiki kimeshawachoka, ni lazima mtolewe kwa machafuko?Sio kweli kabisa. 2019 na 2020 ndio miaka pekee ambayo uchaguzi uliharibika. Mwaka huu na mwakani mambo yatakuwa fair. Ndio maana CCM wanafanya kazi ya ziada.
Hiyo kuweka idadi ya kupika haiondoi ukweli kuwa watu wamewachoka. Kama huamini waambie hao viongozi wa mchongo waitishe mkutano hapo mtaani kama watu watajitokeza wa kuridhisha.Subiri uje uone takwimu za mwisho na idadi ya waliojiandikisha
CCM maeneo mengi tayari wamesha jiandikisha kwa wingi sana kwa sehemu kubwa,Msiwe mnabisha tu kila kitu Ili muonekane ni CCM Bora....hali huku chini ni mbaya sana basi tu mmeamua kutotumia akili.
wewe huruhusiwi kujiandikisha wala kupigakura kwasabb za kiutimamu...Zama za kuchezea kura za wanaume zimeisha. Hakuna mtu ataendelea kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuhalalisha chama cha majizi kukaa madarakani. Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee.