Jiajiri salary yenyewe unayosubili mwezi mzima hata 1 million haifiki Bado ukatweKuna wakati unajuta kupata ajira maana si kwa mateso haya tunayopitia. yaani ni shida mtu unakaa hata hujui lini utapata mshahara Wala pesa ya kujikimu Ni mwezi Sasa watu tunakomaa lakini hakuna hata dalili za kupata pesa.
Kodi,
Nssf,
Heslb,
chama wa walimu,
Bima,
Mataka taka mengi Sasa utabaki na nn? Jiongezeni achaneni na mikazi ya kijinga hii mtu unafanya kazi miaka 5 hata Nyumba huna, gari huna ,mke huna, kiwanja huna, watoto huna, mashamba huna,
Sasa sijui mpaka uzeeke ndiyo ununuwe gari