Serikali itoe pesa za kujikimu kwa Walimu wapya

Kuna wakati unajuta kupata ajira maana si kwa mateso haya tunayopitia. yaani ni shida mtu unakaa hata hujui lini utapata mshahara Wala pesa ya kujikimu Ni mwezi Sasa watu tunakomaa lakini hakuna hata dalili za kupata pesa.
Jiajiri salary yenyewe unayosubili mwezi mzima hata 1 million haifiki Bado ukatwe
Kodi,
Nssf,
Heslb,
chama wa walimu,
Bima,
Mataka taka mengi Sasa utabaki na nn? Jiongezeni achaneni na mikazi ya kijinga hii mtu unafanya kazi miaka 5 hata Nyumba huna, gari huna ,mke huna, kiwanja huna, watoto huna, mashamba huna,
Sasa sijui mpaka uzeeke ndiyo ununuwe gari
 
Kazi ya ualimu ni kazi ya kijinga Sana sijawahi ona
 
Punguza hasira mkuu ksma ningekuwa nataka kujiajiri nisingelisoma sana ningeishia form four
 
Kwa
Punguza hasira mkuu ksma ningekuwa nataka kujiajiri nisingelisoma sana ningeishia form four
Kwahiyo wewe ulisoma uli uajiriwe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa ndiyo walimu Sasa sijui watoto wataelewa nn
 
Tumekusanya tirion 2badi tulipe waaalimu pesa za kujikimu nawaonea huruma mabinti waalimu kwani papuchi zao zinamalizwa huku
 
Pesa za kujikimu ni full danadana

Halmashauri ya wilaya ya chato hakuna kitu paka sasa walimu wanasaga meno tu


Hizi ajira hizi shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…