BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Sifa kuu ya hicho cheo ni kuwa muoga na mengine tuyaache tuUnajua nyie wakuu wa shule mnashida sana huku kwa akili zako unaona sehemu sahihi ya kulalamika kwa kukosa posho yako?
Unaweza pata msaada pia ila vyema tatizo hili ukalifikisha kwa watu husika. Huu ni uwoga na uwoga haujawahi leta mabadiliko au mapinduzi ya kiutendaji popote. Wafikie walengwa eleza namna gani linaathiri hilo swala kwako na kwa utendaji wako.
Naamini umeelewa mkuu wa shule xxxxxxx.