Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Mleta uzi ilifaa atueleze hapa utaratibu unaotumika kupata hizo pesa, je, serikarili hutoa hizo pesa kila mwezi au kila baada ya miezi mitatu?walinzi wengi wa shule wanalia njaa sana . Unakuta analalamika mtaani na ofisi ya Mkurugenzi hajalipwa miezi mitatu. Tuyaavhe tu lakini kiufupi hazitumiki zote ipasavyo
Kuhusu suala la kutumika au kutotumika ipasavyo ni mjadala mwingine, nafikiri inaweza changiwa/chagizwa na udhaifu wa "controls" katika mchakato mziwa wa kupokea pesa, kutunza, matumizi na reporting.