Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

Sifa kuu ya hicho cheo ni kuwa muoga na mengine tuyaache tu
 
Utaambiwa "Tunatekeleza kwa kishindo"
 
Halafu lingekuwa suala jingine ungesikia makada wa chama chetu wanasema habari hii imetokea ufipa, haya sasa hawa wanaolalamika ni wenzetu pure sijui tunasemaje hapa
 
Nashauri wafanyakazi wa UMMAH anzisheni vibiashara vya kuendesha maisha vinginevyo ni hatari kumtegemea Mwajiri kuendesha maisha yako.

Wanafunzi wako likizo toka 08.12.2022 hadi 09.01.2023.... sasa hivi vifaa vya KUFUNDISHIA MNAENDA KUMFUNDISHA NANI WAKATI WANAFUNZI WAPO LIKIZO? ....... nawaza tu ndugu WALIMU msinipige mawe.

SERIKALI IFANYIE KAZI HOJA ZA WADAU NA KUPELEKA STAHIKI ZA WATUMISHI KAMA ILIVYOWEKA UTARATIBU NA IKITOKEA CHANGAMOTO IWAPE TAARIFA WAHUSIKA wajue badala ya kuja kutafuta majibu HAPA....

Critical thinkers wanatakiwa kujadili critical issues.
 
Wewe ni kada wa chama mwenye uthubutu wa kukikemea chama kwa staha lingekuwa suala jingine ungesikia wenzetu wakibeza na kwamba tunachafuliwa na washindani wetu
 
Wanafunzi wako likizo toka 08.12.2022 hadi 09.01.2023.... sasa hivi vifaa vya KUFUNDISHIA MNAENDA KUMFUNDISHA NANI WAKATI WANAFUNZI WAPO LIKIZO? ....... nawaza tu ndugu WALIMU msinipige mawe......
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€šπŸ‘‹πŸ˜·

Ndiyo ujue uongo wa kuambukizwa ulivyo
 
Wewe ndo unashida mkuu, hii platform ina mchango mkubwa sana katika kuibua mambo mbali mbali na hta kupelekea mamlaka husika kuwajibika/kutolea ufafanuzi.

Kama huna ufaham wa kutosha juu ya platform hii, ni busara kukaa kimya kuliko kushambulia mleta uzi, anayejua anachokisema.
 
Ahsante kwa kumpa jibu sahihi, watu hawaheshimu kabisa platform, mada zinakuja badala kudadavua kwa umakini wana kejeli, inakera sana.
 
Mkuu

Soma
"Ondoa elimu bure kwani inaleta irresponsible minds. Badili mfumo wa elimu uendane na Hali ya Sasa ilivyo hasa MITAALA iendane na mahitaji ya Sasa"

Ukisoma kwenye uzi wa Tumia akili "operation Imesitishwa the state wamesema apewe Muda"

LABDA LABDA LABDA LABDA
Huu ndio mwanzo wa utekelezaji wake wa hayo maagizo!
"Mawazo HURU HAYA KUTOKA KWA mtanzania"
 
Mambo ya kiutumishi ndo ayalete huku JF?
 
Wanafunzi kuwapo likizo kipindi hiki haiondoi uhalali wa shule kama taasisi kulipa madeni kwa watoa huduma na wazabuni.

Ameeleza vema kabisa mahitaji ya hizo pesa, pamoja na mambo mengine, zinahitajika kulipa madeni.
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€šπŸ‘‹πŸ˜·

Ndiyo ujue uongo wa kuambukizwa ulivyo
Nasikitika sana kuona uchangiaji wa namna hii, nikuulize tu, wanafunzi wakiwa likizo, hayo majengo na hizo samani zilizomo hazipaswi kulindwa, gharama ya ulinzi zinasimamishwa sio? Vipi kuhusu madeni kutokana na huduma/bidhaa kwa miezi iliyopita, alipe kwa mshahara wake sio?
 
Sikiliza mwalimu mkuu... pesa mtapata february... madeni mawili yalimature kwa pamoja so pesa zote zimeelekezwa huko.
 
walinzi wengi wa shule wanalia njaa sana . Unakuta analalamika mtaani na ofisi ya Mkurugenzi hajalipwa miezi mitatu. Tuyaavhe tu lakini kiufupi hazitumiki zote ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…