Mleta uzi ilifaa atueleze hapa utaratibu unaotumika kupata hizo pesa, je, serikarili hutoa hizo pesa kila mwezi au kila baada ya miezi mitatu?walinzi wengi wa shule wanalia njaa sana . Unakuta analalamika mtaani na ofisi ya Mkurugenzi hajalipwa miezi mitatu. Tuyaavhe tu lakini kiufupi hazitumiki zote ipasavyo
Wachangiaji wengi sana hapa wana knowledge na hii issue inayojadiliwa. Usione watu wanamkazia sana ukafikiri ni wanafiki kumbe wengine ni wazabuni wa hizo shule zao. Fedha ikiingia hawafanyi lolote wanaanza nyodo na maringo.Mleta uzi ilifaa atueleze hapa utaratibu unaotumika kupata hizo pesa, je, serikarili hutoa hizo pesa kila mwezi au kila baada ya miezi mitatu?
Kuhusu suala la kutumika au kutotumika ipasavyo ni mjadala mwingine, nafikiri inaweza changiwa/chagizwa na udhaifu wa "controls" katika mchakato mziwa wa kupokea pesa, kutunza, matumizi na reporting.
Nyodo na maringo baaya kupokea hizo pesa sio sehemu ya agenda kulingana na uzi huu, na kuna nyuzi zilishafunguliwa kulalamika kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wazabuni hasa wanaofanya biashara na taasisi za serikari. Zipo nyuzi za kutosha.Wachangiaji wengi sana hapa wana knowledge na hii issue inayojadiliwa. Usione watu wanamkazia sana ukafikiri ni wanafiki kumbe wengine ni wazabuni wa hizo shule zao. Fedha ikiingia hawafanyi lolote wanaanza nyodo na maringo.
Alafu hapa sio sehemu mahususi kwa mambo kama haya yenye usiri wa kiutumishi. Maaofisa Elimu angalieni watu wa kuwateua kwa weledi sio kutafuta watu mtakaoona kuwa watawaogopa kwenye kuhoji na Incompetent.
una ID mbili? Kama ni wewe ndiye uliyeleta huu uzi basi jitafakari mara mbili.Nyodo na maringo baaya kupokea hizo pesa sio sehemu ya agenda kulingana na uzi huu, na kuna nyuzi zilishafunguliwa kulalamika kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wazabuni hasa wanaofanya biashara na taasisi za serikari. Zipo nyuzi za kutosha.
Usiri ni nini? Je, mleta uzi ame-disclose document yoyote dhini ya hiki alichokileta, ametaja shule anayofundisha au halmashauri inayopatikana hiyo shule? Je, unafikiri huyu mleta uzi hajafanya jitihada zozote za kiofisi kufuatilia hili kwa wahusika huko halmashauri?!
La mwisho, naomba uniambie mada zinazopaswa kuletwa katika platform hii? Je, kujadili na kukosoa maamuzi ya shirika la reli juu ya manunuzi ya behewa na maendeleo ya SGR?
Vipi kuhudu kujadili na kukosoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere inayotolewa na waziri husika, ni sahihi kukadiliwa humu? Likija swala kama hili,kwa kua tu kaleta "mwalimu", inakua sio sehem sahihi?
Siwezi pingana na mtazamo wako, laiti kama ungekuwa umeshawahi hudhuria hata kikao cha shule na wazazi/walezi ni mambo ya kawaida sana hayo, na ndo taarifa zinazotolewa kwa wazazi/walezi.Siwezi kubishana na wewe mkuu lakini kumbuka Ethics of conduct kwa mtumishi wa umma ndiyo uungwana na mleta uzi amezivunja
Badala ya kujibu/kutoa mawazo unauliza kuhusiana na ID ! Orosso anajaribu kuweka mada iwe fikirishi na jengefu kwa baadae ila unakuja na vitu kama hivyo, sio sawa. Tunasafari ndefu.una ID mbili? Kama ni wewe ndiye uliyeleta huu uzi basi jitafakari mara mbili.
Hizo Tajwa hapo juu ambazo umezitumia kama mifano zina maslahi mapana kwa Taifa na vizazi vinavyoendelea kuja.
Mleta mada ,uzi wake una mapungufu mengi lakini unajitahidi kuyabeba.
Siwezi kubishana na wewe mkuu lakini kumbuka Ethics of conduct kwa mtumishi wa umma ndiyo uungwana na mleta uzi amezivunja
Hivyo vikao ndiyo sehemu sahihi ya mleta uzi kuyazungumza hayo mambo endapo atahisi anaweza kujitetea kupitia weakness za serikali.Siwezi pingana na mtazamo wako, laiti kama ungekuwa umeshawahi hudhuria hata kikao cha shule na wazazi/walezi ni mambo ya kawaida sana hayo, na ndo taarifa zinazotolewa kwa wazazi/walezi.
Nafikiri ingekua ni "confidential" kiasi hiko, hata hizo taarifa zisibgetolewa katika mikutano kwa wazazi/walezi.
Mkuu naomba uuquote ule uzi tena wa hicho ulicho kiquoteMkuu
Soma
"Ondoa elimu bure kwani inaleta irresponsible minds. Badili mfumo wa elimu uendane na Hali ya Sasa ilivyo hasa MITAALA iendane na mahitaji ya Sasa"
Ukisoma kwenye uzi wa Tumia akili "operation Imesitishwa the state wamesema apewe Muda"
LABDA LABDA LABDA LABDA
Huu ndio mwanzo wa utekelezaji wake wa hayo maagizo!
"Mawazo HURU HAYA KUTOKA KWA mtanzania"
yaan watu kama nyie mm huwa siwaelewi kabisa ety siri za oiutumishi yaan ....mara nisikie siri za nchi.....nachoka kabisa najiuliza ndo siri gan hz...wakat huo huo waenga wanasema hakuna siri ya watu wa2Wachangiaji wengi sana hapa wana knowledge na hii issue inayojadiliwa. Usione watu wanamkazia sana ukafikiri ni wanafiki kumbe wengine ni wazabuni wa hizo shule zao. Fedha ikiingia hawafanyi lolote wanaanza nyodo na maringo.
Alafu hapa sio sehemu mahususi kwa mambo kama haya yenye usiri wa kiutumishi. Maofisa Elimu angalieni watu wa kuwateua kwa weledi sio kutafuta watu mtakaona kuwa watawaogopa kwenye kuhoji na Incompetent.
Nimesema ni siri lakini siri hizi huwa zinakuwa wazi kwa wahusika tu.yaan watu kama nyie mm huwa siwaelewi kabisa ety siri za oiutumishi yaan ....mara nisikie siri za nchi.....nachoka kabisa najiuliza ndo siri gan hz...wakat huo huo waenga wanasema hakuna siri ya watu wa2
Nimerudi kusoma tena uzi, sijaona mleta uzi aki-onesha interest kama ni mwalim, vipi ikiwa ni mmoja wa wazabuni.Nitumie fura hii kukujibu tena kuwa,hata mleta uzi amekurupuka kwa kutumia Hisia kuliko weledi
ww mwenzako anazungumzia ruzuku mashulen ww unasema azungumzie huko skul....it means kukiwa na shida hosptal flan azungumzie hospital hapo matatizo yake......au ( polis au matrafiki wakiwa na shida mfano kupokea rushwa akazungumzie hapo polis kituoni )?Nimesema ni siri lakini siri hizi huwa zinakuwa wazi kwa wahusika tu.
Hivyo haya mambo alipaswa akayazungumze huko na Bodi ya shule na wazazi kupitia vikao.
πππNimerudi kusoma tena uzi, sijaona mleta uzi aki-onesha interest kama ni mwalim, vipi ikiwa ni mmoja wa wazabuni.
Vipi kama ni mmoja wa wazazi ambao kwa tafakuri amejaribu kueleza athari zinanoweza letwa na huu ucheleweshaji? Ni vipi mleta uzi hana haki ya kuuliza juu ya tamko na msimamo wa serikari juu ya hiki anachokiona?
Aseee!! Nafikiri ingekua ni siri ingishia ndani, bodi ya shule na utawala wa shule tu.Nimesema ni siri lakini siri hizi huwa zinakuwa wazi kwa wahusika tu.
Hivyo haya mambo alipaswa akayazungumze huko na Bodi ya shule na wazazi kupitia vikao.
Wqzabuni na walinzi matatizo yao wanayapeleka wapi kama mkuu wa shule hawalipi? Jiulize kwanza ndugu yangu Orosso!!!ww mwenzako anazungumzia ruzuku mashulen ww unasema azungumzie huko skul....it means kukiwa na shida hosptal flan azungumzie hospital hapo matatizo yake......au ( polis au matrafiki wakiwa na shida mfano kupokea rushwa akazungumzie hapo polis kituoni )?
It's just a speculation, otherwise you know him/her personally.πππ
Ni pure Head of School.
ππIt's just a speculation, otherwise you know him/her personally.
Naona hata msingi wa umeshindwa kuelewa, naona unataka tuanze zungumza shule zina-operate vipi hizo pesa.Wqzabuni na walinzi matatizo yao wanayapeleka wapi kama mkuu wa shule hawalipi? Jiulize kwanza ndugu yangu Orosso!!!
Mwambie atulie ,wakipata huwa wanakuja humu kusifia? Ina maana humu ndani Jf ni kukosoa tu .Naona hata msingi wa umeshindwa kuelewa, naona unataka tuanze zungumza shule zina-operate vipi hizo pesa.
Asante kwa mrejesho chanya, ni wajibu kwa serikali kupeleka hilo fungu kwa wakati, na ni haki kwa hizo taasisi kutumia hilo fungu kama ilivokusudiwa.Mwambie atulie ,wakipata huwa wanakuja humu kusifia? Ina maana humu ndani Jf ni kukosoa tu .