Nawewe unachangia hivi? Au nimekufananisha?Kama hatutaki wawe na simu basi na computer mashuleni zipigwe marufuku..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe unachangia hivi? Au nimekufananisha?Kama hatutaki wawe na simu basi na computer mashuleni zipigwe marufuku..
Utaboresha vipi wamechoma mabweni vitanda magodoro na vitabu vya shule?Naiona mipango ya wizara ya elimu kupika sababu za kushuka kwa kiwango cha elimu nchini hasa shule za kata kuwa ni wanafunzi kumiliki simu.
Nashauri mngetumia muda huo na nguvu kubwa kuboresha elimu badala ya kutengeneza matukio ya kipuuzi ambayo hayatolisaidia taifa ktk kukuza elimu.
Kwahiyo mwanao ukimuudhi huwa anachoma moto nyumba yako? Alishakataa nyumba marangapi?Mwanangu Yuko darasa la pili lakini simlei kizamani Sana. Computer namfundisha na simu tayari ana uwezo wa kupiga kupokea na kutuma Kusoma sms. Hata ku Google katuni taayari anajua. Nataka kimsingi nimtengeneze kiasi Cha yeye kuwa na uwezo wa kujisomea vitabu na kujibu maswali online. Kumtenga na technolojia Sina mpango ila nitahakikisha nakuwa makini Sana na matumizi yake hasa kwa mtoto. Huku ndiyo dunia ilikofika hatuwezi kuepuka.
Kukosa motivesheni ndo kumepelekea kuchoma shule?kuna mahusiano makubwa na ya moja kwa moja kati ya kufanya vibaya kwa shule za serikali na MOTIVATION ZA WALIMU.
mnaamini kwenye mabarabara na kutishia kufukuzana kazi af mnadanganyana ati nidhamu ya watumishi imeongezeka
majuha
Kuwa na simu wapi?Mijitu mingine bhana yaani Kichwani ni ' hovyo ' tupu! Hivi ni nani alikudanganya na alikuambia kuwa Mwanafunzi kuwa na Simu Shuleni ndiko kunachangia Yeye ' Kufeli ' Masomo yake? Kama Wewe Akili zako ulipokuwa Shuleni zilikuwa ni nzito kama Matofali ya STRABAG usitake Kuwajumuisha na Watoto / Watu wengine, bali jiulize tu ni kwanini Mwenyezi Mungu alipokuumba alisahau Kukupa Uwezo mkubwa wa Akili kama ' aliowabariki ' nao wengine. Umendika Hoja Kipuuzi mno na nazidi Kukudharau tu.
Wa kike au Wa kiume?Mwanangu Yuko darasa la pili lakini simlei kizamani Sana. Computer namfundisha na simu tayari ana uwezo wa kupiga kupokea na kutuma Kusoma sms. Hata ku Google katuni taayari anajua. Nataka kimsingi nimtengeneze kiasi Cha yeye kuwa na uwezo wa kujisomea vitabu na kujibu maswali online. Kumtenga na technolojia Sina mpango ila nitahakikisha nakuwa makini Sana na matumizi yake hasa kwa mtoto. Huku ndiyo dunia ilikofika hatuwezi kuepuka.
Shule za private zinazofaulisha Sana hazitaki mtoto asome tuition nje ya Shule au likizo Wala KU download material internet wanajiamini wanachofundisha hawataki mtoto achanganyikiwe kwa outdated material au material ambazo zinapingana na walimu competent walichomfundisha.Hivyo vitabu vyaweza kuwa outdated au out of the current syllabusBinafsi nililazimika kutumia simu shuleni ili ku access THL sababu nilikuwa sina uwezo wa kumiliki vitabu ambavyo bei yake ni kubwa mno na maktaba havipo
Internet Kuna elimu out dated za uongo kibao na out of syllabus kibao .Mwalimu ndio pekee anajua Nini Kiko current na kinachohitajika.Mitandao sio source nzuri ya education syllabus ya nchi yeyoye iwe ya sekondary au chuo asikudanganye mtuWatu apo tanga tumesoma shule na simu zetu na tumemaliza vizuri na ufaulu mwingi
Faida za kuwa na simu ni inasaidia unakaa ata shule maana bila watu tungeshinda mtaani
Naona ni wakati sasa wa elimu yetu kupitiwa upya ,matumizi ya tablet na laptop mpakato kwa advance level yaruhusiwe
Inabidi umtake radhi na utengue kauli.Hivi mwanafunzi anayemiliki smart phone anaitumia kuangalia porn ,kuchart insta ,fb na watsup na kubet anafaulu vipi mitihani?Mijitu mingine bhana yaani Kichwani ni ' hovyo ' tupu! Hivi ni nani alikudanganya na alikuambia kuwa Mwanafunzi kuwa na Simu Shuleni ndiko kunachangia Yeye ' Kufeli ' Masomo yake? Kama Wewe Akili zako ulipokuwa Shuleni zilikuwa ni nzito kama Matofali ya STRABAG usitake Kuwajumuisha na Watoto / Watu wengine, bali jiulize tu ni kwanini Mwenyezi Mungu alipokuumba alisahau Kukupa Uwezo mkubwa wa Akili kama ' aliowabariki ' nao wengine. Umendika Hoja Kipuuzi mno na nazidi Kukudharau tu.
Hapana, hii si jinsi ya kujadili mada nyeti kama hii. Mada kama hii imejadiliwa sana Uingereza. Na suala la simu limebaki kuwa katika bylaws za shule husika. Utafiti umefanyika katika shule za UK na ikaonekana kwamba baada ya kusitishwa umiliki wa simu katika baadhi ya shule ufaulu ulipanda sana kwa wanafunzi wa kuanzia miaka 16 na kuendelea. Sasa unapomshambulia mleta mada kwa matusi sivyo kabisa. Binafsi bado naamini kuruhusu watoto kumiliki simu hasa aina ya simu janja ni kiama kwa watoto hao. Wengi wako katika foolish age, hivyo uwezekano wa kuzitumia ndivyo sivyo ni mkubwa. Muda mwingi wa tatumia kuperuzi mambo ya mitandao kama picha za ngono na bongo flavor music huku wakisahau kutenga muda wa kutosha kwa masomo. Kama ni teknolojia, zipo computer katika baadhi ya shule zanaweza kutumika hizo na si simu. Nihitimishe tu kwamba inawezekana hujawa na watoto wenye umri wa kubalehe ukaona.Mijitu mingine bhana yaani Kichwani ni ' hovyo ' tupu! Hivi ni nani alikudanganya na alikuambia kuwa Mwanafunzi kuwa na Simu Shuleni ndiko kunachangia Yeye ' Kufeli ' Masomo yake? Kama Wewe Akili zako ulipokuwa Shuleni zilikuwa ni nzito kama Matofali ya STRABAG usitake Kuwajumuisha na Watoto / Watu wengine, bali jiulize tu ni kwanini Mwenyezi Mungu alipokuumba alisahau Kukupa Uwezo mkubwa wa Akili kama ' aliowabariki ' nao wengine. Umendika Hoja Kipuuzi mno na nazidi Kukudharau tu.
Internet Kuna elimu out dated za uongo kibao na out of syllabus kibao .Mwalimu ndio pekee anajua Nini Kiko current na kinachohitajika.Mitandao sio source nzuri ya education syllabus ya nchi yeyoye iwe ya sekondary au chuo asikudanganye mtu
Sio kweli mwalimu wa banking au proffessional subject yeyoye hategemei internet au Google hata ukifanya reseach huwezi quote au cite Wikipedia utapewa sifuriInternet inasaidia kuongeza maarifa tambua ilo ..ni wakati sasa mwalimu anaanda notes zinakuwa supplied kwenye kila computer mpakato ya mwanafunzi inakuwa rahisi
Nani kasema mwalimu anajua kinachoitajika ..chukulia msomo chuoni sahivi kuna somo la islamic bank jinsi utendaji wake unavyo fanya na ukiingalia walimu wanaofundisha ata ma doctor wengi hawakusoma iki kitu maana ni currently issue so unatakasema nini?..internet kwa dunia ya leo inaitajika kwa sana
Ufisadi Kenya mkubwa maajenti wa laptop Wamehonga viongozi wa wizara ya elimu wauze laptop kwa wingi.Kuandika a e i o u standatrd one unahitaji laptop?Wakati std one Kenya wakipewa laptop mashuleni High school Tanzania wananyimwa kutumia simu.
#vi-wonder
Hiyo ni kazi ya bodi ya shuleShule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini.
Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana simu ni marufuku mwanafunzi kuwa nazo akikutwa nayo anafukuzwa shule.
Ukaguzi wa kushtukiza kwa wanafunzi ni kitu muhimu sana nakumbuka nilishawahi Fanya zoezi la kushtukiza shule Moja kwenye mabegi ya wanafunzi wa day kwenye mabegi yao tulikuta vitu vya ajabu kuanzia kondomu,simu,bangi ,sigara,viberiti,viroba vya pombe ,nguo za kubadilisha za nyumbani kwa watoto wa kike kama.vimini ,visuruali nk .
Shule zote Wawe wakifanya ukaguzi wa ghafla mfano kuwa search,kuwavamia mabwenini na kumwita mmoja mmoja aingie ndani afungue sanduku lake ufanywe upekuzi na kuwasimamisha uwanjani na kuwataka waweke mabegi yote chini watoke wakae mbali na kuanzia kumwita mmoja mmoja na begi lake afungue afanyiwe upekuzi.