Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli mwalimu wa banking au proffessional subject yeyoye hategemei internet au Google hata ukifanya reseach huwezi quote au cite Wikipedia utapewa sifuri
Inabidi umtake radhi na utengue kauli.Hivi mwanafunzi anayemiliki smart phone anaitumia kuangalia porn ,kuchart insta ,fb na watsup na kubet anafaulu vipi mitihani?
Ndo unachoweza mkuu keep it up ila kumbuka wewe ni moja kati ya watu wanaosababisha JF ionekane imepoteza mvuto kwa upuuzi wenu kwa ushauri tu jaribu kucontrol Depression zako.Naona umerithi Upuuzi kutoka kwa huyo Mpuuzi Mwenzio Ndugu. Ni kweli Mimi ni Kubwa Jinga ila Wewe ni Pumbavu Mwandamizi kabisa.
Cc: YEHODAYA
Ndo unachoweza mkuu keep it up ila kumbuka wewe ni moja kati ya watu wanaosababisha JF ionekane imepoteza mvuto kwa upuuzi wenu kwa ushauri tu jaribu kucontrol Depression zako.
Sio jipya kwenye waislamu hilo somo wanasoma madrasa kila mwislamu analijua sema ni geni kwa wakristoKumbe ujaelewa ata nilichosema..nimekupa mfano somo la islamic banking ni kitu kipya katika elimu yetu tz ...unafikiri mwanafunzi atapata wapi maarifa zaidi kama sio internet
Nyie mlijitambua,watoto wengi wa leo hawajitambui na hawajui wajibu wao.Mbona wengine tulikuwa na ' Utundu ' na ' Uhuni ' kuliko huu ulioutaja hapa lakini Kidato cha Nne na Sita tumepata Divisions II ( Two ) na I ( One ) na bado hadi Chuo Kikuu ndiyo tukaendeleza Usela zaidi na bado tukatoka na Second Class nzuri tu? Siamini katika Uhusiano wa Akili za Darasani na kuwa na Vitu hivyo ulivyotaja hapa ila ukiwa na Akili nzito kama za Matofali ya STRABAG aliyonayo Mleta Uzi ni lazima tu Utafeli Ndugu. Halafu usisahau pia kuwa Uwezo wa Akili wa Mtu pia hutokana na Kizazi chake kuanzia Mababu na Mabibi pamoja na Mazingira aliyokulia na anayoyaishi.
Cc: YEHODAYA
Sio jipya kwenye waislamu hilo somo wanasoma madrasa kila mwislamu analijua sema ni geni kwa wakristo
Matumizi ya simu ndani ya eneo la shule yanapangwa na waalimu sio wanafunzi. Ukilemazwa na iphone yako ni vigumu kuondoka na tabia hiyo, na kumbuka wanafunzi wanalipiwa ada na wazazi ili wasome na sio kushinda kutwa nzima instagram na facebook.Vijana wapewe simu watumie. Msilete ujima hapa!
Wanafundishwa nenda Zanzibar Islamic banking Ina miaka .Waislamu wanafunzwa kuwa riba haramu nk .Somo haliitwi Islamic banking Ni sehemu ya mafunzo ya kurani.Madrasa ganj inafundisha islamic banking au ujui ata kinacho ongelewa ..umenifurahisha[emoji3]
Wanafundishwa nenda Zanzibar Islamic banking Ina miaka .Waislamu wanafunzwa kuwa riba haramu nk .Somo haliitwi Islamic banking Ni sehemu ya mafunzo ya kurani.
Kwani sasa hivi sheria inasemaje mwanafunzi anapokutwa na simu shuleni?
Wanafundishwa nenda Zanzibar Islamic banking Ina miaka .Waislamu wanafunzwa kuwa riba haramu nk .Somo haliitwi Islamic banking Ni sehemu ya mafunzo ya kurani.
Dunia ya saba shida kweli kweli,Kwa hiyo mwanafunzi wa kitanzania anatakiwa kukutana na simu au computer akifika chuo kikuu si ndiyo?Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini.
Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana simu ni marufuku mwanafunzi kuwa nazo akikutwa nayo anafukuzwa shule.
Ukaguzi wa kushtukiza kwa wanafunzi ni kitu muhimu sana nakumbuka nilishawahi Fanya zoezi la kushtukiza shule Moja kwenye mabegi ya wanafunzi wa day kwenye mabegi yao tulikuta vitu vya ajabu kuanzia kondomu,simu,bangi ,sigara,viberiti,viroba vya pombe ,nguo za kubadilisha za nyumbani kwa watoto wa kike kama.vimini ,visuruali nk .
Shule zote Wawe wakifanya ukaguzi wa ghafla mfano kuwa search,kuwavamia mabwenini na kumwita mmoja mmoja aingie ndani afungue sanduku lake ufanywe upekuzi na kuwasimamisha uwanjani na kuwataka waweke mabegi yote chini watoke wakae mbali na kuanzia kumwita mmoja mmoja na begi lake afungue afanyiwe upekuzi.