Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

Utaboresha vipi wamechoma mabweni vitanda magodoro na vitabu vya shule?
 
Kwahiyo mwanao ukimuudhi huwa anachoma moto nyumba yako? Alishakataa nyumba marangapi?
 
kuna mahusiano makubwa na ya moja kwa moja kati ya kufanya vibaya kwa shule za serikali na MOTIVATION ZA WALIMU.
mnaamini kwenye mabarabara na kutishia kufukuzana kazi af mnadanganyana ati nidhamu ya watumishi imeongezeka
majuha
Kukosa motivesheni ndo kumepelekea kuchoma shule?
 
Kuwa na simu wapi?
 
Binafsi nililazimika kutumia simu shuleni ili ku access THL sababu nilikuwa sina uwezo wa kumiliki vitabu ambavyo bei yake ni kubwa mno na maktaba havipo
 
Watu apo tanga tumesoma shule na simu zetu na tumemaliza vizuri na ufaulu mwingi
Faida za kuwa na simu ni inasaidia unakaa ata shule maana bila watu tungeshinda mtaani

Naona ni wakati sasa wa elimu yetu kupitiwa upya ,matumizi ya tablet na laptop mpakato kwa advance level yaruhusiwe
 
Mimi mwanangu Wa kike sitamnunulia Simu ktk kipindi chote cha masomo yake ya kidato cha kwanza hadi sita, atatumia kwa wiziwizi tu. Wa kiume nitamnunulia akifika kidato cha tano
 
Wa kike au Wa kiume?
 
Binafsi nililazimika kutumia simu shuleni ili ku access THL sababu nilikuwa sina uwezo wa kumiliki vitabu ambavyo bei yake ni kubwa mno na maktaba havipo
Shule za private zinazofaulisha Sana hazitaki mtoto asome tuition nje ya Shule au likizo Wala KU download material internet wanajiamini wanachofundisha hawataki mtoto achanganyikiwe kwa outdated material au material ambazo zinapingana na walimu competent walichomfundisha.Hivyo vitabu vyaweza kuwa outdated au out of the current syllabus
 
Internet Kuna elimu out dated za uongo kibao na out of syllabus kibao .Mwalimu ndio pekee anajua Nini Kiko current na kinachohitajika.Mitandao sio source nzuri ya education syllabus ya nchi yeyoye iwe ya sekondary au chuo asikudanganye mtu
 
Inabidi umtake radhi na utengue kauli.Hivi mwanafunzi anayemiliki smart phone anaitumia kuangalia porn ,kuchart insta ,fb na watsup na kubet anafaulu vipi mitihani?
 
Hapana, hii si jinsi ya kujadili mada nyeti kama hii. Mada kama hii imejadiliwa sana Uingereza. Na suala la simu limebaki kuwa katika bylaws za shule husika. Utafiti umefanyika katika shule za UK na ikaonekana kwamba baada ya kusitishwa umiliki wa simu katika baadhi ya shule ufaulu ulipanda sana kwa wanafunzi wa kuanzia miaka 16 na kuendelea. Sasa unapomshambulia mleta mada kwa matusi sivyo kabisa. Binafsi bado naamini kuruhusu watoto kumiliki simu hasa aina ya simu janja ni kiama kwa watoto hao. Wengi wako katika foolish age, hivyo uwezekano wa kuzitumia ndivyo sivyo ni mkubwa. Muda mwingi wa tatumia kuperuzi mambo ya mitandao kama picha za ngono na bongo flavor music huku wakisahau kutenga muda wa kutosha kwa masomo. Kama ni teknolojia, zipo computer katika baadhi ya shule zanaweza kutumika hizo na si simu. Nihitimishe tu kwamba inawezekana hujawa na watoto wenye umri wa kubalehe ukaona.
 
Internet Kuna elimu out dated za uongo kibao na out of syllabus kibao .Mwalimu ndio pekee anajua Nini Kiko current na kinachohitajika.Mitandao sio source nzuri ya education syllabus ya nchi yeyoye iwe ya sekondary au chuo asikudanganye mtu

Internet inasaidia kuongeza maarifa tambua ilo ..ni wakati sasa mwalimu anaanda notes zinakuwa supplied kwenye kila computer mpakato ya mwanafunzi inakuwa rahisi

Nani kasema mwalimu anajua kinachoitajika ..chukulia msomo chuoni sahivi kuna somo la islamic bank jinsi utendaji wake unavyo fanya na ukiingalia walimu wanaofundisha ata ma doctor wengi hawakusoma iki kitu maana ni currently issue so unatakasema nini?..internet kwa dunia ya leo inaitajika kwa sana
 
Wakati std one Kenya wakipewa laptop mashuleni High school Tanzania wananyimwa kutumia simu.
#vi-wonder
 
Sio kweli mwalimu wa banking au proffessional subject yeyoye hategemei internet au Google hata ukifanya reseach huwezi quote au cite Wikipedia utapewa sifuri
 
Wakati std one Kenya wakipewa laptop mashuleni High school Tanzania wananyimwa kutumia simu.
#vi-wonder
Ufisadi Kenya mkubwa maajenti wa laptop Wamehonga viongozi wa wizara ya elimu wauze laptop kwa wingi.Kuandika a e i o u standatrd one unahitaji laptop?
 
Hiyo ni kazi ya bodi ya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…