LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es salaam kukosa nyama ya mbuzi.
Yani leo imenibidi niwe fala kama wanaume walio oa. Nimenunua mbuzi mzima ( 150k) wakati Mimi shida yangu ilikuwa ni kilo 4 tu.
Kilo 2 za kupika na pilau kesho nyumbani kwa ajili ya sherehe ya Yanga na kilo 2 kwa ajili ya kutumia na wine yangu ili niende uwanjani nikiwa nimewaka. Nakunywa Pinot Noir mwenzenu original brand kutoka South Africa. Natakiwa niwe nimeshiba vizuri kabla ya kunywa.
Serikali fanyieni kazi suala hili