Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

Kwa hiyo akipanga chumba cha elf 10 hawez kununua mbuzi mzima au hawez kunywa wine?
Mmmmmm vigumusanaaa.....hata exposure hapo ngumu sana.....ataisgia vitu nusu na robo unga kupima sukari kupima mjali mafuta kula....majani chai kufunga....trust me
 
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi.

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es salaam kukosa nyama ya mbuzi.

Yani leo imenibidi niwe fala kama wanaume walio oa. Nimenunua mbuzi mzima ( 150k) wakati Mimi shida yangu ilikuwa ni kilo 4 tu.

Kilo 2 za kupika na pilau kesho nyumbani kwa ajili ya sherehe ya Yanga na kilo 2 kwa ajili ya kutumia na wine yangu ili niende uwanjani nikiwa nimewaka. Nakunywa Pinot Noir mwenzenu original brand kutoka South Africa. Natakiwa niwe nimeshiba vizuri kabla ya kunywa.

Serikali fanyieni kazi suala hili

Serikali inahusikaje sasa? Hiyo si biashara kama biashara nyingine? Unless sababu ya kodi au kunyimwa vibali, serikali haihusiki na kupotea kwa mbusi huko sokoni
 
Sh ngapi kilo moja kaka? Next week nitakuja huko nina appointment na kidemu changu kipya, kimezaliwa 2006 kinasoma VETA. Nakuja Kula Tunda kimasihara. Najua nikiwa huko nitapata na connection ya maziwa ya ngombe kutoka Kibada kule maziwa yao ni original na very healthier.
Cc. Vincenzo Jr Kigamboni nyama ya mbuzi bei ikoje kwa buchani? Me nimeshazoea kuagiza iliyopikwa tu
 
SmartSelect_20240803-164704_Google.jpg
 
Mtoto wa kiume unakunywa wine? Mademu wako wanakunywa Nini? Unapata stim kweli ?
Wanawake wa Arusha wakukusikia watakucheka Sana.
Up your game son.
 
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi.

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es salaam kukosa nyama ya mbuzi.

Yani leo imenibidi niwe fala kama wanaume walio oa. Nimenunua mbuzi mzima ( 150k) wakati Mimi shida yangu ilikuwa ni kilo 4 tu.

Kilo 2 za kupika na pilau kesho nyumbani kwa ajili ya sherehe ya Yanga na kilo 2 kwa ajili ya kutumia na wine yangu ili niende uwanjani nikiwa nimewaka. Nakunywa Pinot Noir mwenzenu original brand kutoka South Africa. Natakiwa niwe nimeshiba vizuri kabla ya kunywa.

Serikali fanyieni kazi suala hili
😁😁😄😄ila wewe ni kapumbavu! Nikafikri ulikuwa unasaka nyama ya mbuzi ukiwa na jambo la msingi! Kumbe urojo tu! Umeona mpira wa Makolo lakini? Wanasema Yanga hamtoki!
 
Back
Top Bottom