Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

Kwa hiyo akipanga chumba cha elf 10 hawez kununua mbuzi mzima au hawez kunywa wine?
Mmmmmm vigumusanaaa.....hata exposure hapo ngumu sana.....ataisgia vitu nusu na robo unga kupima sukari kupima mjali mafuta kula....majani chai kufunga....trust me
 

Serikali inahusikaje sasa? Hiyo si biashara kama biashara nyingine? Unless sababu ya kodi au kunyimwa vibali, serikali haihusiki na kupotea kwa mbusi huko sokoni
 
Cc. Vincenzo Jr Kigamboni nyama ya mbuzi bei ikoje kwa buchani? Me nimeshazoea kuagiza iliyopikwa tu
 
Mtoto wa kiume unakunywa wine? Mademu wako wanakunywa Nini? Unapata stim kweli ?
Wanawake wa Arusha wakukusikia watakucheka Sana.
Up your game son.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„ila wewe ni kapumbavu! Nikafikri ulikuwa unasaka nyama ya mbuzi ukiwa na jambo la msingi! Kumbe urojo tu! Umeona mpira wa Makolo lakini? Wanasema Yanga hamtoki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…