Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

Nikadhani nyama ya mdudu wa taifa kumbe Mbuzi !.
 
Serikali inahusikaje sasa? Hiyo si biashara kama biashara nyingine? Unless sababu ya kodi au kunyimwa vibali, serikali haihusiki na kupotea kwa mbusi huko sokoni
Anapenda vya mterere huyo, hataki kufuga anataka ale nyama ya mbuzi kila siku!!
 
Serikali inasema hizo ndio nyama zilizotafutiwa soko uarabuni na inchi zingine.

Na inasisitiza watanzania mule nyama nyeupe kwa kuwa nyama nyekundu zinamadhara.

Wenzetu kwao hakuna madhara mbuzi analiwa huko sana.
 
Et ma supply wanakosa mzgo njoo uku Arusha hata ukitaji kla sku tan ya nyama ya mbuz n ww tu na pesa yako
 
Vipi kuhusu Dodoma wine, tuvipende vya kwetu. Kuhusu nyama ya mbuzi labda kuna mtu kanunua mbuzi wote na kupeleka uarabuni. Waarabu wanapenda sana nyama ya mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…