Serikali itoke mbele iseme imefilisika

Wapo sana inategemea unachukua kaz za ukubwa gani. Usichukue kaz inayozid uwezo wako. Kwa mfano ukienda kwenye tender na mhindi ana vifaa vyote na mtaji juu. Wewe unaweza kushinda tenda unaanza kaz za kukodi tena vifaa kwa mhindi huo mzigo ni mkubwa huwez kusurvive. Wako watu wanafanya kazi zaid ya tano kwa mitaji yao hujui tu.
 
Mkuu
Baba unaikimbiaje familia kisa huna hela??
Mkuu haujawahi kusikia ama kushuhudia jamaa akiikimbia familia sababu ya ukata?

Mwenziyo nshawahi kushuhudia njemba mbili maeneo tofauti zikikimbia familia kutokana na sababu za kiuchumi.

Jamaa anaondoka kama anaenda kutafuta kibarua na kuiacha familia katika hali ya matumaini, lakini harudi na ndiyo inakuwa imeshatoka hiyo.

Kwa hiyo si ajabu sana, wanaume tumetofautiana namna ya kukabiliana na ukata ama kukabiliana na hali ya hatari.
 
"Watanzania mtanikumbuka"
 
Ukandarasi nafanya kama mengineyo la sivyo utakufa mapema jiongoze kampuni yangu mpaka leo maddeni yanafika 2.4 billion
 
Mambo ni Moto!!
 
Ukifanya forecasting ya miaka miwili ijayo ndio utaogopa zaidi, 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa, 2025 uchaguzi mkuu na mambo yake yote.

Well so far uchumi ndio kama hivyo ila nchi kutumia kuliko uwezo wa kuzalisha haijawahi kutuacha salama hata kama tukopeshwe vipi. Usisahau gharama kubwa ya matumizi.
 
unaongea kitu usichokijua Tuchukue mikopo mara ngapi...utalipaje mkopo na hela hulipwi
Mkopo utalipwa na pesa ya Serikali.Tunafany hizo biashara za ijeina banks tunajua.

Kama riba inakuaje si utakatwa.huko huko kwenye malipo ya Serikali?

Kama ulitumia.pesa zako binafsi utakoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…