kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Wapo sana inategemea unachukua kaz za ukubwa gani. Usichukue kaz inayozid uwezo wako. Kwa mfano ukienda kwenye tender na mhindi ana vifaa vyote na mtaji juu. Wewe unaweza kushinda tenda unaanza kaz za kukodi tena vifaa kwa mhindi huo mzigo ni mkubwa huwez kusurvive. Wako watu wanafanya kazi zaid ya tano kwa mitaji yao hujui tu.Hamna construction contactor bongo hapa mwenye ubavu wa kipesa wa kuhimili kusurvive mwaka bila malipo huku pesa zake zinatoka kuhudumia kuendesha kampuni na miradi .
Ni upuuzi sana serikali inafanya
Hizo kampuni zitakufa na nyingi zimeshaanza kufa , tuliona kipindi cha Magufuli ni nini kitolitea kwenye sekta ya ujenzi baada ya contractors kuminywa na kukosa tenda