GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa.
Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana.
Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo.
Pia soma:
~ KERO - Ajira Mpya (Kada ya Afya) Singida Mjini na Mkalama tumepewa nusu Fedha ya Kujikimu, wanasema Serikali haina fedha
~ KERO - Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza
~ KERO - Ajira mpya kada ya Afya Mafia hatujalipwa posho za kujikimu kwa miezi mitatu