GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,885 Reaction score 18,636 May 24, 2026 #1 Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo. Pia soma: ~ KERO - Ajira Mpya (Kada ya Afya) Singida Mjini na Mkalama tumepewa nusu Fedha ya Kujikimu, wanasema Serikali haina fedha ~ KERO - Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza ~ KERO - Ajira mpya kada ya Afya Mafia hatujalipwa posho za kujikimu kwa miezi mitatu
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo. Pia soma: ~ KERO - Ajira Mpya (Kada ya Afya) Singida Mjini na Mkalama tumepewa nusu Fedha ya Kujikimu, wanasema Serikali haina fedha ~ KERO - Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza ~ KERO - Ajira mpya kada ya Afya Mafia hatujalipwa posho za kujikimu kwa miezi mitatu
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 24, 2026 #2 GenuineMan said: Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Click to expand... Hawa wnyew wanalalamikia hawajalipwa posho zao upigaji domo
GenuineMan said: Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Click to expand... Hawa wnyew wanalalamikia hawajalipwa posho zao upigaji domo
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 40,476 Reaction score 26,173 May 25, 2026 #3 Weka nyuzi zao hao watumishi wapya wanaolalamika