The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
hao traffic wanasimamisha gari za abiria tu?
Kuna magari binafsi pia ambayo kunakuwa hakuna abiria
Trafiki wote wapewe spika za megafone wazitumie kuhojiana na madereva🤣Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
acha umbeaNdugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
bora utoe buku au elf 30Dereva anashuka anamfata traffic nyuma ya gari anamshikisha buku anaruhusu gari iyende , rushwa haitaisha milele inchi imeoza.
Mimi nlijuwa mleta mada,anaomba serikali itambue rushwa rasmi [emoji1]Dereva anashuka anamfata traffic nyuma ya gari anamshikisha buku anaruhusu gari iyende , rushwa haitaisha milele inchi imeoza.
Ipo siku Hawa jamaa mtakuja kuzoa utumbo wa mtu...Mimi nlijuwa mleta mada,anaomba serikali itambue rushwa rasmi [emoji1]
Traffic wenyewe wanatumwa na wakubwa zao kukusanya hela
Ova
Niliwahi leta humu Syndicate ya rushwa ya Trafiki Barabarani, Wakina Mod wakafuta faster post yangu.Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
Hivi,unamjua binadamu vizuri?Atatafuta mbinu nyingine.Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
Hakuna kitu hapo ..maana rushwa inawekwa kwenye makaratasi anayo kagua trafiki.ni kimya kimya tu .dereva anajiandaa na rushwa kabla hata ya safariNdugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya dereva na traffic yasifanyike Kwa kificho.
Anataka kuharibu siyoacha umbea