Appollo 11
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 245
- 650
Kuna watu wana nyumba haina hata space ya kupaki gari sasa sijui miti wataipanda wapi? Kosa limefanyika kwenye kuacha watu wajenge makazi kiholela huku lukuvi anazurura kugawa mashamba ya watu.Nawasalimu wana Jamvi.
Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika
Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja kukipandwa miti minne, na sehem kama Dar es salaam lenye wakazi milioni 6, Jaalia iwe na makazi au viwanja laki 5 na kila mmiliki apande miti minne (japo kuna watakao panda zaid) tutakua tumepanda miti milioni 2. Je tukifanya nchi nzima?
hii itasaidia sana katika kuregulate hali ya hewa na kupunguza joto pamoja na athari mbaya za kimazingira.
Pili itaamsha ari ya uwajibika na ushiriki wa kila mtanzania katika kutunza mazingira.
NB: Sheria itamke wazi kuwa kutokupambanda miti kuanzia minne katika eneo la makazi au kuwa, ni kosa kisheria.
Naomba kuwasilisha.
Tukianza tunaweza, mti hauhitaji eneo kubwa sanaKuna watu wana nyumba haina hata space ya kupaki gari sasa sijui miti wataipanda wapi? Kosa limefanyika kwenye kuacha watu wajenge makazi kiholela huku lukuvi anazurura kugawa mashamba ya watu.
Kwa hiyo ukipanda miti utapunguza joto?Nawasalimu wana Jamvi.
Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika
Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja kukipandwa miti minne, na sehem kama Dar es salaam lenye wakazi milioni 6, Jaalia iwe na makazi au viwanja laki 5 na kila mmiliki apande miti minne (japo kuna watakao panda zaid) tutakua tumepanda miti milioni 2. Je tukifanya nchi nzima?
hii itasaidia sana katika kuregulate hali ya hewa na kupunguza joto pamoja na athari mbaya za kimazingira.
Pili itaamsha ari ya uwajibika na ushiriki wa kila mtanzania katika kutunza mazingira.
NB: Sheria itamke wazi kuwa kutokupambanda miti kuanzia minne katika eneo la makazi au kuwa, ni kosa kisheria.
Naomba kuwasilisha.
Ndio,.. inapunguza effect za Global warmingKwa hiyo ukipanda miti utapunguza joto?
Una wazo zuri sana sana. Linaweza kuwa mojawapo ya wazo bora hapa JF tangu mwaka uanze. Lakini sisi waafrika mambo kama haya tunadharau. I wish kiongozi yeyote w serikali angepitia hapa na alipigie debe hili wazo lifanikiwe.Ndio,.. inapunguza effect za Global warming
Makamba alifanya kazi nzuri sana hata Morogoro, lakini cha kushangaza baadaye miti mingi ilikatwa ati kwa kisingizio inafuga kunguru za zbrNi wazo zuri. Nakumbuka Wakati wa Mzee Makamba akiwa RC, Dar ilipandwa miti mingi Sana....
Hiki kipengele kipo tayari kwenye sheria,Nawasalimu wana Jamvi.
Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika.
Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja kukipandwa miti minne, na sehem kama Dar es salaam lenye wakazi milioni 6, Jaalia iwe na makazi au viwanja laki 5 na kila mmiliki apande miti minne (japo kuna watakao panda zaid) tutakua tumepanda miti milioni 2. Je tukifanya nchi nzima?
Hii itasaidia sana katika kuregulate hali ya hewa na kupunguza joto pamoja na athari mbaya za kimazingira.
Pili itaamsha ari ya uwajibika na ushiriki wa kila mtanzania katika kutunza mazingira.
NB: Sheria itamke wazi kuwa kutokupambanda miti kuanzia minne katika eneo la makazi au kuwa, ni kosa kisheria.
Naomba kuwasilisha.
Hii ipo haitekelezwi tu, ukipewa offer ya kiwanja unaandikiwa idadi ya miti ya kupanda, ila Watanzania sasa!!Nawasalimu wana Jamvi.
Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika.
Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja kukipandwa miti minne, na sehem kama Dar es salaam lenye wakazi milioni 6, Jaalia iwe na makazi au viwanja laki 5 na kila mmiliki apande miti minne (japo kuna watakao panda zaid) tutakua tumepanda miti milioni 2. Je tukifanya nchi nzima?
Hii itasaidia sana katika kuregulate hali ya hewa na kupunguza joto pamoja na athari mbaya za kimazingira.
Pili itaamsha ari ya uwajibika na ushiriki wa kila mtanzania katika kutunza mazingira.
NB: Sheria itamke wazi kuwa kutokupambanda miti kuanzia minne katika eneo la makazi au kuwa, ni kosa kisheria.
Naomba kuwasilisha.
Naunga mkono hojaNawasalimu wana Jamvi.